Wapenda maendeleo wenzangu naomba mnipokee

chipuz

New Member
Nov 10, 2010
2
0
Mimi ni msomaji mzuri wa post mbalimbali ambazo wana JF wamekuwa wakizichangia na huwa navutiwa sana na michango ya members. Tafadhali naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia kwa manufaa ya maendeleo ya nchi yetu. Ahsanteni
 
Karibu ukae jamvini tuendelee na mazungumzo mkuu. Usitukane wala kukurupuka kwani hawachelewi kukuzomea humu
 
Back
Top Bottom