- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?
- I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!
- Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!
OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
WILIAM.

- Sio kosa langu kwamba baba yako hakusoma na hakuwa kiongozi!!
Willie!
Kwanza kabisa amelazimishwa.
Pili, ughaibuni au bongo standards ni zilezile. Ndiyo maana nikakwambia kama kweli unataka kuwa mwanasiasa, jitahidi kusoma. Na hiyo haimaanishi mimi ni mtu anayesoma sana, ila watu wanaosoma utawajua tu, huwa wana points za maana na siyo za kupoteza muda.
Sorry brah, ila unajiexpose too much !!! ... tuliza boli kwanza.
- great thinkers wanatakiwa kuwa bigger than that bro!!
Wiliam.