William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Kuna wanaharakati wa CCM?- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini,....
-
WILIAM.
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?
OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
WILIAM.
watu wanatuchukia, kutwa hawaishi kutuombea dua zote mbaya, wanatulaani na kutuita majina yote mabaya unayoyajua dunia bado tu tujipendekeze kwao!? Labda wewe willy sisi wengine hatuwezi kujipendekeza.
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?
- I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!
- Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!

Tuna mambo mengi ya kufanya kwa manufaa ya nchi hii...
Watu wameandamana kushinikiza mawaziri wa Afya wajiuzulu,Mmewafungulia kesi. Wameandamana tena kushinikiza serikali kuchukua hatua juu ya madai ya madaktari, Mmewafungulia kesi. Wameandamana kupinga CDCF, mmewatukana! Wameandamana kutaka mabadiliko,Mmesema Intelijensia yenu hairuhusu!..
Sasa hivi unawatakia nini?
Acha unafiki Wille
Tatizo lako unachanganya vitu viwili pamoja, siasa na celebrity, acha usharobalo!
Mtu amejiuzuru unataka apewe media coverage, are u out of ur mind? Watu kama ninyi ndo hatuwataki kabisa ktk siasa za nchi yetu maana kila siku mnataka sifa za kijinga sana
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?
- I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!
- Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!
OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
WILIAM.
Ni lini tena wewe na kinje mtachangisha tena hela za watoto wa yatima,na mlipata ngapi.