Wala bata mjini tuonane hapa bhana,, this weekend nilikuwa na plan za kutoka kwenda zangu savvana (posta mkapa tower) kiwanja changu nacho kikubali,, sasa kiwanja chenyewe kimefungwa almost mwezi sasa.... vipi mwana jamvi mwenzangu weekend hii wapi aiseee....????