Wapemba rekebisheni kiswahili

ahaaa sasa napata jibu kwanini boda boda hawavuki malengo ya makusanyo ya mapato, hawavai helmet kutoziba masikio, kutovaa koti zito!!!
 
Kama ni Mm bac hapohapo mtoni ningemaliza mambo[emoji38]
 
 
Kwa nini akuonyeshe MTO na sio DARAJA? Hakuna barabara inayopita mtoni!
 
ha ha ha ha ha dah...... kwel nto mbele yo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…