CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Sioni kama ni halali kuliita hili kundi haramu. Ukweli ni kwamba kundi hili linawakilisha mawazo ya wazanzibar wote isipokuwa Shein na wale walio karibu naye serikalini. Kuliko kuwawekea watu mipaka ya kuujadili, ni bora muafaka wa muungano ukatafutwa mapema kabla haujatuletea majanga katika nchi.
Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is shocking kuwa wanapokuwa wanahubiri wakiuliza "nani anapenda muungano uendelee, uwanja wote unakuwa kimya, wakisema nani anataka Muungano uvunjike, majority wanaamsha mkono!!! Hawa sio wa kupuuza kama tunataka muungano uendelee kuwapo. Serikali inalifumbia macho kundi hili haramu. Tafakari, chukua hatua!!!
Nyerere ilitumia nguvu za Watanganyika kumtimua Sultani, akampa Mhamiaji wa Uganda John Okello na Wamakonde, Watanga na Wasukuma kazi ya kumpindua Mungu wa Wazenji, baada ya mapundizi akampeleka mwanasiasa nae mhamiaji mwenye asili ya Malawi aitwae Abeid Amani Karume na kapewa eti ni yeye aliyepindua, alikuwa akila kuku kwa Nyerere akisubiri ajira, akapewa miezi 3 tu baada ya kuajiriwa na Mwalimu kama kiongozi wa visiwa vyetu, kisha kasaina kuungana na Mainland, kosa la Nyerere ndio hili la kwanini asingekomboa na kufanya Mkoa tu? Angalia kwa roho yake nzuri ya kuwapa heshima japo wao wa leo wanamtukana Mwalimu kwa pesa toka Iran, enzi hawakuwa banadamu eti walikuwa mali ya Sultani.
Ni kundi haramu kwa sababu linavunja katiba ya nchi. Kujadili mapungufu ya Muungano hakuna ubaya, ila kuvunja Muungano ni uhaini because it is against the constitution! There are ways to air your dissatisfaction on every opinion, not by breaking laws of the country!! If everybody was to behave like UAMSHO, what will be the destination of this nation!!!
zanzibar wachukue nchi yao, utamaduni wao unaharibika kwa kuungana na makafiri wa bara.
Kama ni kundi haramu eti kwa kujadili Muungano, je Slaa naye ni haini kwa kukataa kuutambua muungano kwa kuwa hajawahi kuiona hati ya Muungano?? Waacheni wa Zb waamue hatima yao. Watanganyika hamna haki ya kuwaamulia Wazenj wanachotaka. Halafu kuna mmoja hapa JF anasema eti kundi la Uamsho linamtukana Nyerere kwa pesa za Iran! Nani kamwambia kuwa hao jamaa wanapewa pesa Iran? Anaweza kutuletea ushahidi? Kwa taarifa yako hao jamaa na Mashia wa Iran ni kama nguruwe na muislam.
Kosa kubwa ni kukataza kujadili muungano katika katiba mpya,kama Muungano ni mzuri kwa nini tuhofie kuujadili?duniani kote Muungano haulazimishawi ni makubaliano,tukubaliene ili uwe Muungano wenye tija kwa wote