Wapemba kupimwa Ebola ni aina ya Uzayuni

Ubishi mwingine haujawahi kuwa na maana hata kidogo.
.
Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni hawatatikisika milele na milele(Zaburi.125).
.
Furahini, basi, enyi wana wa Sayuni, mkamfurahie Bwana, Mungu wenu; kwa kuwa yeye huwapa ninyi mvua ya masika, kwa kipimo cha haki, naye huwanyeshea mvua, mvua ya masika, na mvua ya vuli, kama kwanza.
Yoeli 2 :23

Nipe tafsiri ya neno Zayuni au Wazayuni na uniambie linapatikana katika kamusi gani waislamu always ni haters wa watu wasio amini mnachoamini nyinyi.
Biblia hiyo ya kiswahili inaita Sayuni/ wana sayuni na kuna mabinti kibao hujawahi kukutana nao wanaitwa sayuni au unaishi pemba?
Koran pekee na waislamu ndio huita Mazayuni/Zayuni nashangaa wewe kimekupata nini umeboresha kidogo (WAZAYUNI) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hapo umeshikilia maana unayoifahamu wewe kama ulivyosoma kwenye biblia pamoja na kwamba biblia si kamusi la Kiswahili.Pamoja ha hivyo tunaowakusudia ni watu hao hao ambao kati ya 100 yawezekana 99 roho zao hazina ubinadamu na mateso ya watu wengine ndio furaha kwao.Daima huwa wana njama za muda mrefu ujao kujiweka juu ya wenzao hata kwa gharama za kuuwa binadamu wenzao.
 
Ami kiswahili chako ni kibovu sana.
kamusi la kiswahili = Kamusi ya Kiswahili.
biblia = Biblia
.
mnawakusudia Wana Sayuni kwa kuwaita Mazayuni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ "roho zao hazina ubinadamu" "na mateso ya watu wengine ndio furaha kwao"
Hivi kati ya wana Sayuni na Maislamu nyie kina nani ni wakatili?
koran inasema mtuchukie Wakristo na Wayahudi waziwazi nyie mna ubinadamu?
Zitaje njama zao ni zipi na wewe mlugaluga zina kuathiri nini?
.
miaka 1400 sasa azma ya Uislamu ni ileile kuitawala dunia na mmeshafanya majaribio kadhaa kwenye hilo ila hamjafanikiwa je azma yenu ni nzuri?
.
usisahau kuniambia na wewe Zayuni/Mazayuni ni lugha gani
 
Tofauti za herufi kwenye matamshi ni kitu cha kawaida.Muhimu ni lile linalokusudiwa.Ndio maana tuliona baadhi ya watu waliofukuzwa kazi kwa tofauti ya herufi za majina yao pamoja na kuwa ni wataalamu wa kazi zao ilikuwa ni uonevu.Kuhusu mazayuni na wewe unasema masayuni tutabishana mpaka asubuhi lakini watu tunaokusudia ni hao hao wenye sera za ukandamizaji kwa wenzao kwa gharama yoyote ile.
Unaposema mazayuni na waislamu ni nani wakatili jibu ni hao mazayuni.Ushahidi kaika dunia ni mwingi sana.Unalijua gereza kubwa zaidi duniani?.Kama hulijui ni Gaza waislamu wamefungiwa kwa miaka kadhaa.Wagonjwa ,wazee wananyimwa fursa hata kwenda kutafuta dawa.Wanaotaka kupeleka misaada wote wanazuiwa au watoe kwa resheni wanayotaka wayahudi.Mifano ni mingi sana.
Japo mada hii ilihusu upimaji wa Ebola zaidi hata hivyo na wewe nakuomba unitajie wapi Qur'an tukufu inapohimiza kuwachukia wakristo.Kama umeona kitu kama hicho Nahofia huenda hujafahamu maana .
Hata hii unayoita njama za uislamu kuitawala dunia ni hofu tu ya binadamu na kutokuweza kutofautisha kati ya huruma na njama.Uliza wale waliokuwa kama wewe wakueleze furaha na ukweli wanaojuwa baada ya kufuata uislamu.Na watakutofautishia kati ya waislamu na wayahudi na wakristo ni nani watu wa njama zaidi.
 
Ubishi mwingine haujawahi kuwa na maana hata kidogo.
.
Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni hawatatikisika milele na milele(Zaburi.125).
.
Furahini, basi, enyi wana wa Sayuni, mkamfurahie Bwana, Mungu wenu; kwa kuwa yeye huwapa ninyi mvua ya masika, kwa kipimo cha haki, naye huwanyeshea mvua, mvua ya masika, na mvua ya vuli, kama kwanza.
Yoeli 2 :23

Nipe tafsiri ya neno Zayuni au Wazayuni na uniambie linapatikana katika kamusi gani waislamu always ni haters wa watu wasio amini mnachoamini nyinyi.
Biblia hiyo ya kiswahili inaita Sayuni/ wana sayuni na kuna mabinti kibao hujawahi kukutana nao wanaitwa sayuni au unaishi pemba?
Koran pekee na waislamu ndio huita Mazayuni/Zayuni nashangaa wewe kimekupata nini umeboresha kidogo (WAZAYUNI) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Inaelekea bado unainukia kutoka ujanani na hivyo umejaa hamasa. Hongera kwa hilo. Sayuni na Zayuni - Sishangai pia kwamba umejibebesha chuki ya kidini/kiimani. Sayuni, kama ulivyoeleza awali, ni kwa Kiarabu. Zayuni, kama ulivyosema, inatokana na Korani. Uko sahihi. Zayuni pia linatamkwa kwa Kiingereza ingawa linaandikwa zion. Tatiza lako: Hujui na unajifanya unajua. Wewe kwa sayuni umeathiriwa na Uarabu. Mimi Zayuni nimeathiriwa na Koran - kama unavyodai; lakini pia nimeathiriwa na Kiingereza. Matamshi, wakati mwingine, huathiriwa na mazingira. Nakupa mfano mmoja wa hilo: Neno soko kwa Kiswahili cha Bara ni market ambalo ni neno la Kiingereza, lakini kwa Kiarabu ni Suuq au suku. Wabara wakalitohoa wakaliita soko. Wao wameathiriwa na Kiarabu. Wazanzibari wakaitohoa market wakaiita marikiti. Wameathiriwa na Kiingereza. Hawa wote wanazungumza Kiswahili na wako sahihi. Ni sawa na Sayuni/zayuni. Ndio lugha na wala si dini/imani. Usiwe na kiherehere. Ukiona mambo tulia, fikiria kwa makini halafu ndo uandike. Kuhusu kuishi Pemba ni sawa na uko sahihi. Ukianza ukabila hautofika mbali. Unahitaji kukua kiakili na kimawazo.
 
Tofauti za herufi kwenye matamshi ni kitu cha kawaida.Muhimu ni lile linalokusudiwa.Ndio maana tuliona baadhi ya watu waliofukuzwa kazi kwa tofauti ya herufi za majina yao pamoja na kuwa ni wataalamu wa kazi zao ilikuwa ni uonevu.
Kwa hiyo na nyie maislamu mnafanya makosa haya kwa makusudi?
Kwa kuwaita watu wa Sayuni Mazayuni

Kuhusu mazayuni na wewe unasema masayuni tutabishana mpaka asubuhi lakini watu tunaokusudia ni hao hao
Hakuna pahala nimetumia hilo neno (MASAYUNI) wanaitwa Wasayuni nimekupa kazi ya kuniambia neno mazayuni ni lugha gani naona unajiuma uma tu kwa michuki yenu maislamu

wenye sera za ukandamizaji kwa wenzao kwa gharama yoyote ile.
Unaposema mazayuni na waislamu ni nani wakatili jibu ni hao mazayuni.
Ngoja tufanye ulinganifu kati ya Wasayuni na maislamu tuone nani ana sera ya ukandamizaji.
1. Israel mwanamke anatembea anavyotaka na bila kuruhusiwa na yeyote.
Saudia mwanamke hawezi kutoka nyumbani bila kumuaga mwanaume na atakapokwenda lazima aende na mwangalizi (guide) wa kiume.

2. Israel wanawake wanalitumikia jeshi lao.
Saudia wanawake wameruhusiwa kujiunga na jeshi miaka ya hivi karibuni na wako restricted sana.

3. Raia wa Israel wana haki ya kutoa maoni. Saudi hamna hicho kitu
4. Kwenye mikahawa, sehemu za kufanyia kazi, sherehe wanaume na wanawake wanashirikiana there's no segregation.
Saudia wanaume na wanawake wanatengana kwa kila kitu maislamu mnafikiria ngono mno.

Ushahidi kaika dunia ni mwingi sana.Unalijua gereza kubwa zaidi duniani?.Kama hulijui ni Gaza
Ndugu yangu lukwangul njoo uyaone maislamu haya yanasema Gereza kubwa duniani lipo Gaza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
rikersisland.jpg

Hili hapa Gereza kubwa zaid duniani ni kisiwa kilichoundwa na mwanadamu.
Linaitwa Rikers Island, New York city.
La pili lipo Los Angeles linaitwa Twin towers correctional na la tatu lipo silivri Turkey.

waislamu wamefungiwa kwa miaka kadhaa.Wagonjwa ,wazee wananyimwa fursa hata kwenda kutafuta dawa.
Sababu ya kufungwa kwao unaijua?
Tanzania ulishawahi kumuona mfungwa anatoka jela anakuja mtaani kwako kutafuta dawa?

Wanaotaka kupeleka misaada wote wanazuiwa au watoe kwa resheni wanayotaka wayahudi.Mifano ni mingi sana.
Acha porojo wewe
12bangkok-1-articleLarge.jpg

Umemuona huyu binti kulia? Basi huyu kakimbia ushenzi wenu maislamu
Yupo Canada

Japo mada hii ilihusu upimaji wa Ebola zaidi hata hivyo na wewe nakuomba unitajie wapi Qur'an tukufu inapohimiza kuwachukia wakristo.Kama umeona kitu kama hicho Nahofia huenda hujafahamu maana .
Maislamu ujuaji mwiiingi mbele kiza
Koran 5:52 unajua inasemaje?

Hata hii unayoita njama za uislamu kuitawala dunia ni hofu tu ya binadamu na kutokuweza kutofautisha kati ya huruma na njama.Uliza wale waliokuwa kama wewe wakueleze furaha na ukweli wanaojuwa baada ya kufuata uislamu.Na watakutofautishia kati ya waislamu na wayahudi na wakristo ni nani watu wa njama zaidi.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ siwezi kuwa mfuasi wa Mudy mimi abdoooool siwezi kumuamini mtu aliyekuwa hajui kusoma wala kuandika.

Angalia tofauti ya mislamu menzio na Wasayuni hapa
group-shot-womens-football.jpg.824x0_q71.jpg

Israel national (W) team

iran-women-football.gif

Iran (w) national team ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wakicheza hawa wanaume hawahudhurii marufuku ๐Ÿ˜จ

main_-_saudi_greens_team.jpg

Saudi (w) national team wakiwa Copenhagen
Wanaume marufuku kuwaangalia ni kituko
 
Nimeangalia majibu kwa haraka nimegundua kumbe umekusudia kutudanganya au yawezekana umechanganyikiwa.
Kwa sababu hili eneo la Rikers island lina ukubwa wa kilomita mraba 1.67 tu na kwa siku yoyote ile watu wanaokuwepo humo kisiwani hawazidi elfu 15 na takriban nusu huwa ni wahudumu wa wafungwa.Wafungwa wa kudumu ni chini ya elfu moja na waliobaki ni wafungwa wa muda mfupi mfupi kama watalii vile.
Ukija Gaza ina ukubwa wa kilomita mraba 45 na wakazi wake ni zaidi ya laki 6.Wengi wao wanatamani kutoka wapate hewa safi lakini kila upande kuna kuta za mayahudi na wengine wako juu ya vilima wanawaangalia wasikaribie sehemu za kutokea.
Halafu Rikers Island kama umeangalia vyema imetajwa kuwa ni moja ya gereza kubwa duniani.Mwandishi yawezekana alijuwa kuwa yapo magereza makubwa zaidi kama vile Gaza.Lakini huenda kama kawaida yako lugha imekupiga chenga.
 
Ngoja tufanye ulinganifu kati ya Wasayuni na maislamu tuone nani ana sera ya ukandamizaji.
1. Israel mwanamke anatembea anavyotaka na bila kuruhusiwa na yeyote.
Saudia mwanamke hawezi kutoka nyumbani bila kumuaga mwanaume na atakapokwenda lazima aende na mwangalizi (guide) wa kiume.

2. Israel wanawake wanalitumikia jeshi lao.
Saudia wanawake wameruhusiwa kujiunga na jeshi miaka ya hivi karibuni na wako restricted sana.

3. Raia wa Israel wana haki ya kutoa maoni. Saudi hamna hicho kitu
4. Kwenye mikahawa, sehemu za kufanyia kazi, sherehe wanaume na wanawake wanashirikiana there's no segregation.
Saudia wanaume na wanawake wanatengana kwa kila kitu maislamu mnafikiria ngono mno.
Tatizo lako huna vipimo vya sawa vya kupimia uzuri na ubaya.Hii ni kwa vile wewe unaongozwa na akili yako na nyuma yako kuna shetani anakupiga viboko uelekee anakotaka.
Nani kakwambia mwanamke kutembea anakotaka ndio jambo zuri.Na wanawake kulitumikia jeshi ndio heshima na ushujaa wa nchi.Subiri basi siku vita vya kweli vitakapoanza uone kati ya jeshi la wanaume na wanawake ni nani watakaoshinda.
Kuhusu wanawake kutoa maoni kwenye uislamu ndio kwenyewe na mawazo yao yanaheshimika sana.Sidhani kama katika dini yako utapata mifano ya uhuru huo na heshima anayopewa mwanamke.
 
Unamjua Bikira Maria?
Unamjua Esther?
.
Vita ya Tanzania ya Hayati Julius Nyerere na Uganda ya Idd Amin hukuwaona wanawake wameshiriki kwenye hiyo vita?
Saudia au Iran kuna mwanamke anaweza kupaza sauti yake juu ya lolote hata kwa ngazi ya familia?
.
Jeshi la wanawake la Israel kila siku linawachapa maislamu huko huoni?
Mimi shetani haniwezi i am born again Christian na Mungu wangu yu hai naye ni Yehova anaishi ndani yangu, mimi ni hekalu lake.
 
Nimeangalia majibu kwa haraka nimegundua kumbe umekusudia kutudanganya au yawezekana umechanganyikiwa.
Kwa sababu hili eneo la Rikers island lina ukubwa wa kilomita mraba 1.67 tu na kwa siku yoyote ile watu wanaokuwepo humo kisiwani hawazidi elfu 15 na takriban nusu huwa ni wahudumu wa wafungwa.Wafungwa wa kudumu ni chini ya elfu moja na waliobaki ni wafungwa wa muda mfupi mfupi kama watalii vile.
Ukija Gaza ina ukubwa wa kilomita mraba 45 na wakazi wake ni zaidi ya laki 6.Wengi wao wanatamani kutoka wapate hewa safi lakini kila upande kuna kuta za mayahudi na wengine wako juu ya vilima wanawaangalia wasikaribie sehemu za kutokea.
Halafu Rikers Island kama umeangalia vyema imetajwa kuwa ni moja ya gereza kubwa duniani.Mwandishi yawezekana alijuwa kuwa yapo magereza makubwa zaidi kama vile Gaza.Lakini huenda kama kawaida yako lugha imekupiga chenga.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nimecheka sana, mara zote huwa tunawaambia msome hamtaki msome hamtaki mmekazana na madrasa tu maislamu.
.
Jela ya Gaza inaitwaje jina lake?
 
Kucheka ovyo ovyo mara nyingi huwa ni kicheko cha kishetani.Hapo sijui kilichokuchekesha ni kipi.Wewe ulidanganya kuwa gereza kubwa liko New York kumbe ni dogo mara 50 kuliko Gaza.
Yawezekana hufahamu maana ya gereza na wafungwa.Kama huelewi kitu Ukipenda cheka tena na kama utafahamu maana safari hii lia sana.
Jela ya Gaza kwa kizungu ni Gaza prison
 
Unamjua Bikira Maria?
Unamjua Esther?
.
Vita ya Tanzania ya Hayati Julius Nyerere na Uganda ya Idd Amin hukuwaona wanawake wameshiriki kwenye hiyo vita?
Saudia au Iran kuna mwanamke anaweza kupaza sauti yake juu ya lolote hata kwa ngazi ya familia?
.
Jeshi la wanawake la Israel kila siku linawachapa maislamu huko huoni?
Mimi shetani haniwezi i am born again Christian na Mungu wangu yu hai naye ni Yehova anaishi ndani yangu, mimi ni hekalu lake.
Mbona umeshikilia wanawake kushiriki vita.Shida yako nini wanawake lazima washiriki vita.Nikiwa mtaalamu wa saikolojia nahisi wewe ni mkware.
 
Saikolojia inakupeleka shimoni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mimi Ngosha
 
Tatizo lako huna vipimo vya sawa vya kupimia uzuri na ubaya.Hii ni kwa vile wewe unaongozwa na akili yako na nyuma yako kuna shetani anakupiga viboko uelekee anakotaka.
Nani kakwambia mwanamke kutembea anakotaka ndio jambo zuri.Na wanawake kulitumikia jeshi ndio heshima na ushujaa wa nchi.Subiri basi siku vita vya kweli vitakapoanza uone kati ya jeshi la wanaume na wanawake ni nani watakaoshinda.
Kuhusu wanawake kutoa maoni kwenye uislamu ndio kwenyewe na mawazo yao yanaheshimika sana.Sidhani kama katika dini yako utapata mifano ya uhuru huo na heshima anayopewa mwanamke.
Mada ni ya Ebola ,Mjadala ni wa Dini ,yanakuwaje haya ?
Inaonesha Una kitu kina kuchemka rohoni unatafuta pa kukitema,Ukafiri na chuki dhidi ya Uislamu,Lakini hapa mbona si mahala pake?
Jiliwaze na aya hii ya Qur-an Tukufu.
4;171. Enyi Watu wa Kitabu (Wakiristo na Mayahudi)! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimsemee Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha
 
Unamjua Bikira Maria?
Unamjua Esther?
.
Vita ya Tanzania ya Hayati Julius Nyerere na Uganda ya Idd Amin hukuwaona wanawake wameshiriki kwenye hiyo vita?
Saudia au Iran kuna mwanamke anaweza kupaza sauti yake juu ya lolote hata kwa ngazi ya familia?
.
Jeshi la wanawake la Israel kila siku linawachapa maislamu huko huoni?
Mimi shetani haniwezi i am born again Christian na Mungu wangu yu hai naye ni Yehova anaishi ndani yangu, mimi ni hekalu lake.
Unaona shida hii, Wewe Ulokole mpaka unakutowa akili ,
Mada ni Ebola ,wewe unaleta habari za Yesu,Maria ,na Esta
Wapi na wapi.!
Una kitu chako kimekukwama rohoni, una chuki na ubaya dhidi ya Waislamu.
Wewe kama una dada zako na Mama zako na mabinti zako unapenda wavuliwe nguo watembee utupu eti wako huru,na wacheze mipira ,waende jeshini watafunwe na Maafande wa Kiume, Hayo ni mapenzi yako wewe .Peleka Mkeo huko jeshini na kwenye vilabu vya michezo watu wakajiambie.

Lakini sisi waislamu tuna miko na maadili yetu na tunaichunga kwa kiasi tuwezavyo isipokuwa wale wapotevu walioamua kuasi ambao hawakosekani katika jamii.

Ulimwengu wetu miaka 100 kabla ulikuwa kama hivyo nisemavyo,lakini leo miaka hii ya utandawazi kila jema lageuka kuwa baya na baya kufanywa zuri.Hata Ushoga siku hizi unaitwa 'Human right" tetea na huo basi na wewe uwe Bwege ili wanaume wenzio wakulambe , si uhuru tuu.

Mungu kakemea,Machafu yote na hata kwenye Biblia yako Huyo mwanamke hakupewa uhuruwa aina yoyote,Haya ya uhuru ni yako wewe na shetani wa kilokole.
 
Mada ni ya Ebola ,Mjadala ni wa Dini ,yanakuwaje haya ?
Inaonesha Una kitu kina kuchemka rohoni unatafuta pa kukitema,Ukafiri na chuki dhidi ya Uislamu,Lakini hapa mbona si mahala pake?
Hilo nami nimeliona ! ila kwa kujuwa kuwa yule jamaa mjinga mjinga ameishiwa na hoja kutetea ufisadi wa kupimwa ebola pia naye nimsindikize kwa makonde madogo madogo huko huko anakokimbilia.
 
Daaaaah sie tunaopanda misaratoga, Adventure, Otta, jumlisha na gogo daily toka kigoma kurudi Dar, lakini sijawahi ona hata siku moja tukipimwa hayo maradhii...
Sasa nyie kinaa eeeenheee mmekosa ninii??
 
Maislamu ujuaji mwiiingi mbele kiza
Koran 5:52 unajua inasemaje?
5;12. Na Mwenyezi Mungu alifanya agano na Wana wa Israili. Na tukawateulia kutokana nao wakuu kumi na mbili. Na Mwenyezi Mungu akasema: Kwa yakini Mimi ni pamoja nanyi. Mkisali, na mkatoa Zaka, na mkawaamini Mitume wangu, na mkawasaidia, na mkamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, hapana shaka nitakufutieni maovu yenu na nitakuingizeni katika mabustani yapitayo mito kati yake. Lakini atakaye kufuru miongoni mwenu baada ya hayo bila ya shaka atakuwa amepotea njia iliyo sawa.

lakini soma na hii inayofuatia basi
5;13. Basi kwa sababu ya kuvunja agano lao tuliwalaani, na tukazifanya nyoyo zao kuwa ngumu. Wanayabadilisha maneno kutoka pahala pake, na wamesahau sehemu ya yale waliyo kumbushwa. Na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao. Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.
 
Koran 5:52 ndio inasema hayo uliyoyaandika?
 
Kupimwa Ebola ni kudhalilishwa?
Ni kudhalilishwa sana iwapo upimaji unafanyika kwa ubaguzi wa makundi ya watu na pasipo na ulazima.
Si udhalilishwaji tu bali ni upotevu wa rasilimali za taifa na kupoteza nguvu ambazo zingetumika kuzalisha pahala pengine.
Wanaotumia meli hiyo ya Bakhresa wanasema zamani wale wanaokaa mjini walikuwa wanafika majumbani mwao takriban robo saa tu tangu meli itie nanga ,lakini sasa hivi ni usiku mwingi ndipo wanapofika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom