Wapare hawana mzaha mbele ya shekeri

Avae shigha matani avae.....hata kama twekundie itundu mira chethiringane huvo avae......
 
alafu atatumia 1000 kujitakatisha na kutakatisha nguo.

Ndo maana wapare/watani wangu wanaeza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji114] [emoji114]
Umeuwa
 
Sawa nimewaacha ndugu zangu wazee wa shekeri, japo sijui unamaanisha nini [emoji2] [emoji2]
Itundu lithakwa kwa ndhinya he naicho we kilipata uendwa uuke makini he matumizi we mwenye weremanya.....!!!
 
Avo ni vambare va ithanga la uko kaye sana....va ithanga la iki vetonga na teknolojia.....
Wapare kweli ni wakikuyu. Dah! Mara shekel sasa lugha. Hapa unasema hao ni jamaa wa kutoka ukoo wa ithanga huko mbali sana eti lakini ni matajiri sana na wapo kwenye mambo ya teknologia. Hii ndio mara yangu ya kwanza kusoma maneno ya kipare. Hapo nimenoa mkuu? Avo kwa kikikuyu ni acio, mbare ni mbare, kaye ni kaire/kuraihu, sana ni muno, la iki ni no ni, vetonga ni itonga. Kwa kikikuyu itakuwa; Acio ni aa mbare ya ithanga, aa ithanga no ni itonga cia teknolojia. [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…