Wapare hawana mzaha mbele ya shekeri

Wapare hawana mzaha mbele ya shekeri

alafu atatumia 1000 kujitakatisha na kutakatisha nguo.

Ndo maana wapare/watani wangu wanaeza kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji114] [emoji114]
Umeuwa
 
Avo ni vambare va ithanga la uko kaye sana....va ithanga la iki vetonga na teknolojia.....
Wapare kweli ni wakikuyu. Dah! Mara shekel sasa lugha. Hapa unasema hao ni jamaa wa kutoka ukoo wa ithanga huko mbali sana eti lakini ni matajiri sana na wapo kwenye mambo ya teknologia. Hii ndio mara yangu ya kwanza kusoma maneno ya kipare. Hapo nimenoa mkuu? Avo kwa kikikuyu ni acio, mbare ni mbare, kaye ni kaire/kuraihu, sana ni muno, la iki ni no ni, vetonga ni itonga. Kwa kikikuyu itakuwa; Acio ni aa mbare ya ithanga, aa ithanga no ni itonga cia teknolojia. [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom