Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,930
- 27,454
[emoji23] nanyi natumaini mnapangua gia. Ruksa kuweka jinsi mnavyo jinasuaWanawake tunaruhusiwa kushiriki au tukakojoe tulale?
Kuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.[emoji23] nanyi natumaini mnapangua gia
Ruksa kuweka jinsi mnavyo jinasua
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]yan skusikiii kabsa babu ntakuchek nkikaa sehem poaa[emoji16] nshakutoka apo
[emoji23][emoji23] ukimaliza kungea nae kwenye simu unawasha airplane mode."mkuuu nipo kwenye jau apa nikichomoka nitakuchek tubonge vzr kuhusu ilo swala'
mbinu mojawapo ya kuzipangua gia[emoji23]
Na vijana akijua umesoma anakuchapa kizinga kisomi hadi ukija shituka unabaki kujipongeza Ni bao langu saa nifanyaje.Unajibu tu sina hela, basi. Ukijibu hivyo atajua una hela ila hutaki kumpa kwa hiyo kwa ethics za taaluma yao atajiongeza.
Hapo kwa watoto wa bweni/vyuoni kama unazungumzia hawa wa kuwazaa, mzinga haukwepeki. Mzazi ukiwa mkoloni mtoto anakupiga kwenye michango hewa.
Hii ukikuta mchanga karata mzuri wa vizinga huchomoki mkuuKuna mishe naiskilizia ikitiki ntakucheki
Io kesho utasubir sana
[emoji3][emoji3516]yan skusikiii kabsa babu ntakuchek nkikaa sehem poaa[emoji16] nshakutoka apo
Hahaa mnaruhisiwaWanawake tunaruhusiwa kushiriki au tukakojoe tulale?
Mwana alikua kanuwia kukuvunja goti[emoji23][emoji119]Kuna mwana nilimwambia sina kitu, labda nikukopee (nikajua atajiongeza)
Akajibu fanya hivyo mwanangu
Sirudii tena hiyo mbinu [emoji23][emoji1544][emoji23][emoji1544]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app