Wapangaji wangu wanabadilishana wenza wao

Bila kuwachosha wakuu.

Kila baada ya siku mbili mke wa huku anakwenda kule na wakule anakuja huku mimi nimegundua leo asubuhi. Wangapaji wenzao wanasema (they keet it as secret) mahusiano yao ni (sexual,emotional,spiritual and defferent combination) when i had ask them.

Answer from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them) hadi nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? kama baba mwenye nyumba.

Couple swapping...hawachokani...they enjoy their life!!
Unapata madhara yeyote wanavyofanya hivyo?? Tatizo unataka kuingilia majukumu yasiyokuhusu..
 
haya ndo yale maajabu ya M4C...2nabadilishana ndio ww inakuhusu nin,kodi yako c unapata!na mkeo nishamla sasa jinga wew
 
Bila kuwachosha wakuu.

Kila baada ya siku mbili mke wa huku anakwenda kule na wakule anakuja huku mimi nimegundua leo asubuhi. Wangapaji wenzao wanasema (they keet it as secret) mahusiano yao ni (sexual,emotional,spiritual and defferent combination) when i had ask them.

Answer from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them) hadi nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? kama baba mwenye nyumba.

Kama inakukera watimue
Kama unafurahishwa na wewe jiunge
Kama unaona poa tu wapotezee
 
Kweli nimecheka hadi basi.najiuliza nani alianzisha kati yao?
 
Wanalipa kodi? Wamekuwa nuisance? Wamemchukua mkeo? Wamekuomba socks, wame,,,,,,.....???

Achana nao!
 
Back
Top Bottom