Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,704
- 3,597
wenye magari hawawazi hivi huyu anausafiri tuuMzee unamiliki "GARI" au "USAFIRI"? Isije ukawa unatunanga sie watembea kwa MIGUU na wapanda daladala kumbe una KIBEBIWOKA"
wenye magari hawawazi hivi huyu anausafiri tuuMzee unamiliki "GARI" au "USAFIRI"? Isije ukawa unatunanga sie watembea kwa MIGUU na wapanda daladala kumbe una KIBEBIWOKA"
Hiyo comment Na tag mbona havihusiani?
Hahaàa wikenda ndo imeanza kwako
Tz 11 😂😂Gari langu halitumii mafuta
Ukiona hivyo ujue hilo gari linakula 5.0km kwa lita mojaKuna wengine wanapenda tu kutembea kwa miguu magar wanayo na yapo full tank ila hajisikii kutembea na gar mkuu
Suzuki MR Wagon ni gari gani au unamaanisha Suzuki Jimny? Kama ni Jimmy na una Prado na Terrano obviously unatatizo la kifedha maana fuel consumption hizo gari ni tofauti sanaMie namshukuru mungu sana maana alinibarikia kupata hivi vitu nina miaka 12 sijapanda daldala kabisa, sina utajiri kiukweli ila nina maisha ya kati. Ingawa wkt flani huwa nasoma comment za watu huku nacheka mwenyewe maana kuna watu wao wanawaitwa wenye magari mazogo ati ma bay sita. Nina Nissan Terrano, Prado na Suzuki Mr Wagon. Nissan Terrano na Suzuki nilishawachia home watumie kwaiyo mie natumiaga mara nyingi Prado. Lakini kama mwezi nilichukua Suzuki Mr Wagon natumia. Ninachoshangaa ni kwamba watu wananisema mbona unatembelea kigali cha hovyo ivo. Watu wenyewe hata baiskeli hawana nawashangaa sana. Jaman kuwa na gari flani siyo ishara ya utajiri ni chombo cha usafiri tu. Watanzania tujifunze, nimeishi Ujerumani wkt nasoma Profesa wangu alikuwa na magari6 nyumbani kwake lkn asub utashangaa anakuja na baiskeli kazini. Gari siyo ishara ya utajiri ni chombo cha usafiri tu
Niko Mahali Kidogo nimewakaHahaàa wikenda ndo imeanza kwako
wenye Magari Mpo wengi kinomaGari inarahisisha sana maisha, lakini adha ya parking inasumbua hasa katikati ya mji. Kama ni safari ya mjini mara moja ninapanda basi. Kutembea ni kuzuri kwa afya yako. Ninaweza kutoka kwetu Kwamtogole mpaka Sam Nujoma kwa miguu.
Si wote wa daladala na watembea kwa Miguu hawana magari.
Wala si langu ninaazima la jiraniwenye Magari Mpo wengi kinoma
Tena wale watembea kwa mguu wavaa madela
mimi huwa nina kaufunguo ka spare ka gari niliiba garage huwa nawalaghai mademu kirahisiWala si langu ninaazima la jirani
Wala si langu ninaazima la jirani
Ana upendo wa AgapeItakua jirani ana upendo sana