Wapanda daladala, watembea kwa miguu na roho za kwanini kwa wenye magari

Mie namshukuru mungu sana maana alinibarikia kupata hivi vitu nina miaka 12 sijapanda daldala kabisa, sina utajiri kiukweli ila nina maisha ya kati. Ingawa wkt flani huwa nasoma comment za watu huku nacheka mwenyewe maana kuna watu wao wanawaitwa wenye magari mazogo ati ma bay sita. Nina Nissan Terrano, Prado na Suzuki Mr Wagon. Nissan Terrano na Suzuki nilishawachia home watumie kwaiyo mie natumiaga mara nyingi Prado. Lakini kama mwezi nilichukua Suzuki Mr Wagon natumia. Ninachoshangaa ni kwamba watu wananisema mbona unatembelea kigali cha hovyo ivo. Watu wenyewe hata baiskeli hawana nawashangaa sana. Jaman kuwa na gari flani siyo ishara ya utajiri ni chombo cha usafiri tu. Watanzania tujifunze, nimeishi Ujerumani wkt nasoma Profesa wangu alikuwa na magari6 nyumbani kwake lkn asub utashangaa anakuja na baiskeli kazini. Gari siyo ishara ya utajiri ni chombo cha usafiri tu
 
Suzuki MR Wagon ni gari gani au unamaanisha Suzuki Jimny? Kama ni Jimmy na una Prado na Terrano obviously unatatizo la kifedha maana fuel consumption hizo gari ni tofauti sana
 
Gari inarahisisha sana maisha, lakini adha ya parking inasumbua hasa katikati ya mji. Kama ni safari ya mjini mara moja ninapanda basi. Kutembea ni kuzuri kwa afya yako. Ninaweza kutoka kwetu Kwamtogole mpaka Sam Nujoma kwa miguu.

Si wote wa daladala na watembea kwa Miguu hawana magari.
 
wenye Magari Mpo wengi kinoma
 
Back
Top Bottom