Nesi mkunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 701
- 1,866
KaTIka waliopambaniwa na Msoga boys wamo? Hebu msitucheze Shere basi kwa kuona tuko kimya.Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu...
Kuna mwenzako from Uchagani nae alipata bahati ya mtende kama yako and now nakwambia hapa amebaki anachokimiliki ni Toyota alphard pekee na apartment anayoishi kwa kupanga pale Masaki.Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu..
Ashakum si matusi
Ashakum si matusiSawa Mkuu.
Kumbuka baba yako naye hakufanya kazi kwa bidii. Ingelikuwa hivyo angekuwa tajiri mkubwa, ambapo hiyo Million 200 ingelikuwa kwa ajili ya kununua gari moja tu latest...
Umebaki kuliwa kisamvu tu
Matusi ndiyo urithi aliyokuachia wazazi wako?Umebaki kuliwa kisamvu tu
Wewe ulienyimwa elimu unampango wa kuwaachia nini watoto wako? Au unampango wa kuolewa?Matusi ndiyo urithi aliyokuachia wazazi wako?
Siwezi kubisha na mbwa nabisha na mwenye mbwa endelea na ujuha wakoWewe ulienyimwa elimu unampango wa kuwaachia nini watoto wako? Au unampango wa kuolewa?
Umewekewa hiyo hela kwasababu wewe ni tahira ,, usiyejua kutafuta wala kukiendeleza kidogo ulichonacho . Wakaona wakikuwekea kidogo utakufa bila hata kujijua , Kama upendi unachofanya fanya fanya unachopenda..Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu.
Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na juhudi za wazazi wetu kutumbania future za watoto wao ambao ni sisi kwahiyo niuwalize nyie mkiuza plot hata laki mbili kila mwanafamilia atapata? Shame on them.
Sasa niwatonye nyie wapambanie watoto wenu kuwatengenea future watoto wenu msiangaike na hizo pisi kali hizo wapambanie watoto wenu huko!huu ni ushauri wangu kama utanuna nuna tu ila ukweli ndiyo huo.
Wazazi wenu walikuwa kutwa kuhaingaika na pisi kali miaka Ile ddc mlimani Park sasa wanakuja kuwatesa nyie watoto poleni sana.
This thread posted by someone who get 200million from inheritance property also use note 10 plus 5G na ambaye haishi nyumba ya kupanga.
Vp mama yako yupo comfortable kuzaa shoga kama wewe?Umewekewa hiyo hela kwasababu wewe ni tahira ,, usiyejua kutafuta wala kukiendeleza kidogo ulichonacho . Wakaona wakikuwekea kidogo utakufa bila hata kujijua , Kama upendi unachofanya fanya fanya unachopenda..
Unadharau za kimbwa hivyo we ni mbwa tu, watoto wako unampango wa kuwaachia bilioni ngapi? Au ndio hadi ukatwe ringi za marinda sio? Wewe lazima ushughulikiwe before you get out of hand, as soon as possible!Siwezi kubisha na mbwa nabisha na mwenye mbwa endelea na ujuha wako
achana nao wasikusumbue wachawi haoVp mama yako yupo comfortable kuzaa shoga kama wewe?