mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini.
Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.



Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini
Sanaaumakini unahitajika sanaa