Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
katika nyanja ya urembo wa mwanamke leo huwezi kuzungumzia hili bila kuwahusisha WAPAKA RANGI MIGUUNI.
hii huduma kwa sasa imeshamili mijini hasa DAR ES SALAAM na imeajili wengi.
BACK TO TOPIC.
wapaka rangi wanaingia mtegoni na majaribu makubwa ya kimapenzi kutokana na nguo fupi za WADADA zinazoacha wazi mapaja yao HAPO YATAKA MOYO kufanya kazi huku ukiangalia paja zuri la demu bila stimu kukupanda UKIZINGATIA UREMBO WAO.
UPANDE MWINGINE wadada nao wanavuta hisia kali na stimu kuwapanda wawapo kwa huduma hii,ukizingatia miguuni kunakooshwa na kusuguliwasuguliwa(KWENYE UNYAYO) ni sehemu inayoweza kupandisha nyege za mwanamke kirahisi.(hapa nisiwe shahidi sana wadada tiririkeni).
Jamani hii dunia,yangu macho.