Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Sep 22, 2016 #21 Haianaga Kondoo Tunachinjaaagaaa
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,789 Reaction score 10,471 Sep 24, 2016 #23 made said: duu hii nayo Kali,hv hao wamama hawajaona haya kabisaa kuvua hizo nguo.....mbona wachungaji timing zao ni wanawake na pesa tu hasa wachungaji wanaume...mbona sijasikia vihoja hivyo kwa wachungaji wa kike? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchungaji alikua anabusu ile kitu namesa mwensake
made said: duu hii nayo Kali,hv hao wamama hawajaona haya kabisaa kuvua hizo nguo.....mbona wachungaji timing zao ni wanawake na pesa tu hasa wachungaji wanaume...mbona sijasikia vihoja hivyo kwa wachungaji wa kike? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchungaji alikua anabusu ile kitu namesa mwensake
gosberth samweli Member Joined Sep 24, 2016 Posts 6 Reaction score 0 Sep 24, 2016 #24 Hahah dah kanisani mapenz tuu kusali ni ww mwenyew na nafs yako some time wachungaji mizinguo tuu doh hiyo kalii
Hahah dah kanisani mapenz tuu kusali ni ww mwenyew na nafs yako some time wachungaji mizinguo tuu doh hiyo kalii
K king L JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 615 Reaction score 285 Sep 24, 2016 #25 Duh hatari. Sana
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,201 Sep 24, 2016 #26 Pastor naye bana alikosa mabinti wa maana
made JF-Expert Member Joined Jun 29, 2010 Posts 890 Reaction score 585 Sep 25, 2016 #27 bhachu said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchungaji alikua anabusu ile kitu namesa mwensake Click to expand... hahahahahaha
bhachu said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchungaji alikua anabusu ile kitu namesa mwensake Click to expand... hahahahahaha
victormztz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,111 Reaction score 614 Sep 27, 2016 #28 Otorong'ong'o said: Kama huyu Mchungaji wa Nigeria aliweza kuwabusu makalio kwanini iwe shida kwa huyu wa Kenya...Walokole ni janga la ulimwengu View attachment 404460 Click to expand... Naanza kuamini mwanamke ni kiumbe dhaifu sana, na ukute hao wanatafuta watoto tu matokeo yake wanaishia kudhalilishwa namna hiyo.
Otorong'ong'o said: Kama huyu Mchungaji wa Nigeria aliweza kuwabusu makalio kwanini iwe shida kwa huyu wa Kenya...Walokole ni janga la ulimwengu View attachment 404460 Click to expand... Naanza kuamini mwanamke ni kiumbe dhaifu sana, na ukute hao wanatafuta watoto tu matokeo yake wanaishia kudhalilishwa namna hiyo.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,166 Reaction score 28,816 Sep 27, 2016 #29 victormztz said: Naanza kuamini mwanamke ni kiumbe dhaifu sana, na ukute hao wanatafuta watoto tu matokeo yake wanaishia kudhalilishwa namna hiyo. Click to expand... Hao walikuwa wanataka kuolewa..
victormztz said: Naanza kuamini mwanamke ni kiumbe dhaifu sana, na ukute hao wanatafuta watoto tu matokeo yake wanaishia kudhalilishwa namna hiyo. Click to expand... Hao walikuwa wanataka kuolewa..
victormztz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,111 Reaction score 614 Sep 27, 2016 #30 Otorong'ong'o said: Hao walikuwa wanataka kuolewa.. Click to expand... Kweli akili ni nywele,sasa hata huyo mchumba akiona mali zake zimeanikwa hivyo kweli hata hamu ya kuoa si inaishia hapo😀
Otorong'ong'o said: Hao walikuwa wanataka kuolewa.. Click to expand... Kweli akili ni nywele,sasa hata huyo mchumba akiona mali zake zimeanikwa hivyo kweli hata hamu ya kuoa si inaishia hapo😀