naomba msaada wap naweza pata tv tuner za laptop ambazo zna tumika katka usb port
Kama upo Dar nenda Sunray computers fanya kama unaelekea Mnazi mmoja ukitokea round about duka lipo karibu na kituo cha mafuta
Tafuta ikipata niambie sh ngapi me ntakupunguzia chini ya bei utakayoipata! Unataka ngapi?
Around about ipi mkuu ya shule ya uhuru au ya bibi titi mohamed?
Ungesema ulizonazo na bei zako then tujueTafuta ikipata niambie sh ngapi me ntakupunguzia chini ya bei utakayoipata! Unataka ngapi?