Waosha magari! Mungu anawaona..!

Waosha magari! Mungu anawaona..!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,940
Reaction score
831,442
1477536497660.jpg
 
Tatizo linaanza na...ni wapi unaoshea gari lako...jamaa wanagonga nyoka😀
 
Hela ya kupeleka huko,huwa namuwezesha jamaa yangu anayeangalia usalama home, na yanakuwa masafi x 100 ya huko.
 
Na hao ndio wachonga michongo ya wizi wa magari
 
Ni bora waoshe gari na wewe ukiwa hapo hapo cz hii inatokea pale tunapojiona tuko bize na kumuachia gari muoshaji kama una haraka kwanini usije siku nyingine inabidi tukubaliane na hayo matokeo
 
Ni bora waoshe gari na wewe ukiwa hapo hapo cz hii inatokea pale tunapojiona tuko bize na kumuachia gari muoshaji kama una haraka kwanini usije siku nyingine inabidi tukubaliane na hayo matokeo
Uko chobingo unaisulubu amri ya sita na mchepukiwa lazima wana wafanye yao
 
Tabia ya kupeleka gari lioshwe wewe unaondoka unarud after 2/3 hrs nayo inachochea hii mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom