Waombaji/wanamaombi tuombee nchi yetu

Waombaji/wanamaombi tuombee nchi yetu

Vita vyetu si cya damu na nyama..

2 Nya 20:15 SUV
kwani vita si yenu bali ni ya Mungu.

Rum 12:19
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Ni KWELI vita si vya vyetu sisi bali ni vya Mungu mwenyewe na Tena vita vyenyewe si juu ya mwili na damu bali ni juu ya waflme WA Giza,majeshi ya mapepo wabaya, my akuu WA anga,waflme WA giza,wenye mamlaka WA Giza,ambayo vita hivyo BWANA ATATUPIGANIA NASI TUTANYAMAZA KIMYA,na Tena BWANA ATALIPA KISASI ,mana Hukumu ya Mungu ni ya HAKI,HUKUMU NA KISASI NI JUU YA BWANA MUNGU WA MAJESHI.
 
.
 

Attachments

  • noah.JPG
    noah.JPG
    20.8 KB · Views: 1
mnasikia utabiri wa habari ya MVUA KUBWA YA ELNINO ambayo huwa ina ambatana na NJAA na kushusha shughuli za kiuchumi...

kuna mafunuo ambapo mtumishi alifunuliwa katika NDOTO mwezi huu wa nane mwishoni mwaka huu 2026
1.MVUA KUBWA WATU WAKAJIFUNGIA NDANI WASIWEZE KUTOKA NJE ilianza ASUBUHI mpaka mvjana
2.ILIPOFIKA MCHANA kuelekea jioni ikabadilika ikawa MVUA KUBWA YA MAWE watu waliendelea kusali ndani bila kutoka nje,ikanyesha siku kucha
3.KULIPOPAMBAZUKA ikaanza kunyesha MVUA YA DHAHABU dhahabu zilianguka kutoka mbinguni zikapatapakaa juu ya uso wote wa nchi watu waliokuwa wamejificha ndani wakati mvua zikinyesha wote wakatoka nje na kuanza kukusanya dhahabu kwa wingi na kuhifadhi hazina ya kutosha ndani ya nyumba zao kila mmoja .
Haina maana hyo but
 
Maombi makuu tunaomba kwa Mungu wa haki ni damu isiyo na hatia iliyomwagika Mungu alipe upesi.Vinginevyo sisi inatupasa kulipia damu hizo.Mungu ni mtakatifu sana kabla ya Kumkaribia ni lazima pasiwepo na sauti za damu za watu waliodhulumiwa maisha yao bila sababu.
 
1 Wakorintho 14:33 — "Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani." (Kuhakikisha kuwa fujo hazitoki kwa Mungu

2 Wakorintho 13:11 — "... mwe na amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi." (Kuwepo kwa amani kati yenu kunamfanya Mungu akae nanyi).
Umeona Mungu amesettle na shetani kufanya Amani?
 
tuombee nchi yetu hayo yanayokuja yasitupate kama si mpango wake muumba, na kama ni adhabu ya Mungu basi tuombe atupunguzie adhabu na tuombe rehema na neema yake ,ila hali ya mvua,elinino,NJAA na hayo mabaya yote yanayokuja mbeleni ikiwemo mabaya yote ya kiuchumi,kisiasa na kijamii yasitupate.
Amini Usiamini, Hayo uliyoyaorodhesha ni Matokeo ya mabaya yaliyopandwa na waovu, Unajua kwa nini vitabu vya Dini Bwana ni Mtu wa vita? Kuandikwa ni Mfalme wa amani tu ni jambo moja vipi kuhusu vita?
 
Back
Top Bottom