Waoaji wapo ila hawana hela

Waowaji tupo tatizo wanawake wanataka ndo ya mke mmoja tu, yaani niwe na mama mzazi mmoja na mke mmoja, kweli?? Mie ntaoaga hadi wanne ili nisichepuke. Mmoja au wawili hawanitoshi kabisa.
 
Nini kifanyike ili wanaume wapate hela na mwisho waje kuoa.hili ndio la msingi kujadiliwa....siku za hivi karibuni wanawake wengi wameibuka mitaani na mabeseni kichwani kujitafutia chochote inamaana vipato vya wanaume vimeshuka sana kiasi cha kutoa kipaombele kwenye chakula na kodi ya nyumba tu

Kukosekana kwa pesa mfukoni kumepelekea thamani ya mapenzi kupungua na badala yake imekuwa kila mtu yupo bize kunusuru tumbo tu.
 
Waowaji tupo tatizo wanawake wanataka ndo ya mke mmoja tu, yaani niwe na mama mzazi mmoja na mke mmoja, kweli?? Mie ntaoaga hadi wanne ili nisichepuke. Mmoja au wawili hawanitoshi kabisa.
Hivi Mkuu ukiwa na wake wanne huwa wanazuiaga kuchepuka?
 
Ndio wanaipenda pesa wanapenda watoto wao wasome shule nzur...ila wanaipenda pesa kwa kuitafuta sio kuisubiri aletewe,,

Ukioa mrombo hata ufungwe miaka 10 ukirudi unamkuta mkuu,na familia unakuta ipo stable watoto wana afya njema na wapo shule [emoji23] [emoji23]
 
Umeonaeeee. Mie ndio ninachokifahamu pia kuwa na wake wanne sio chanzo cha kuacha kuchepuka sababu Uzinzi ni tabia.
Hata ukiwa nao kumi kama huna hofu ya Mungu au u-mnafiki kama Bashite utachepuka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…