Wao ilichukua siku sita,sisi je!

Wao ilichukua siku sita,sisi je!

Mzee23

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
1,742
Reaction score
3,673
01eeb0f719c39bec3289fe9a605add58.jpg
ile ya Kagera
 
Mungu mwenyewe anajua ndio maana katukaushia.
 
Kila kitu ni siasa tuu.... kwanini wanasiasa hawaachi baadhi ya mambo yaende bila kufata propaganda za siasa ? Ndo maana huwa sipendi kuwaza kuhusu siasa kwasababu huwa napandwa na hasira na kuongeza kunyanzi usoni bila malipo aaahggrr wanakera kabisa hawa politicians.
 
Kwanza nituombe isotokee kwa maana haitawezekana hata kutengeneza si unaona kule Kagera na kutoa pesa zetu pamoja na za wadau wamezichimbia kufanyia mambo yao mengine na kuwaacha raia wakiteseka.
 
Back
Top Bottom