Wanywaji wa Soda hatarini

Yaani ndiyo mnajua sasa wakati watu wameshaumia.Too little to late.Ndio maana mimi siiamini serikali yeyote duniani.Kama wanaruhusu wananchi kuuziwa sumu, tutawaaminije kwenye C-19 vaccines.Upuuzi mtupu.
Ndio hivyo mkuu hawa tuliowapa dhamana mf TBS na TFDA sijaona umuhimu wao kazi yao niipi?
Nimepitia maoni ya wanna JF wengi ni yakipumbavu hapa ndipo nakumbuka alivyokuwa akisema MWL Nyerere waTZ wengi ni IDIOTS.
 
Ndio hivyo mkuu hawa tuliowapa dhamana mf TBS na TFDA sijaona umuhimu wao kazi yao niipi?
Nimepitia maoni ya wanna JF wengi ni yakipumbavu hapa ndipo nakumbuka alivyokuwa akisema MWL Nyerere waTZ wengi ni IDIOTS.
Uko sahihi mkuu.TBS na TFDA ni rubber stamps za mabeberu, don't trust them.Halafuu, wengi wa JF members ni makuadi wa mabeberu, wapo humu kupandikiza fikra potofu za mabeberu kwa members, ili hatimaye zisambazwe kwa jamii.Kuwa makini na mawazo ya some members wa JF, ni upotoshaji.
 
Matunda yamejaa kila kona bado mtu anakunywa soda. Walivyo wehu wakakifanta kinywaji cha kwenye sherehe.
 
SODA ni addiction

Sukari nayo ni addiction

Chumvi nayo ni addiction

Matumiz yote hayo hatuna tofUti na watumiaji

Wa ngda

Ova
 
Mkuu soda hazijaanza kunywewa leo na zinanywewa duniani kote, chakula au kinywaji chochote huwa na madhara tu pale unapotumia kuzidi kiasi, ukisema soda je unajua mboga za majani zinazoliwa mijini humwagiliwa na maji ya aina gani?
 
Yote haya ni kutafta nn hasa? Kuishi miaka 100?
 
Hatuna TFDA Bali tuna TMDA Kwa dawa n vifaa Tiba na tuna TBS Kwa vyakula na vipodozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…