Wanywaji wa Soda hatarini

Mfumo wake wa maisha ilikuwaje? Je alikuwa anafanya kazi gani huyo babu yako?
Ni maswali mazuri sana mkuu.Tatizo la Watanzania tulio wengi ni kujifanya wajuaji.Hivi mtu afanye propaganda katika mambo kama haya ili apate faida gani hasa.Hivi watu hawaoni hii escalation ya magonjwa yasiyo na tiba na yasiyoambukiza.Wanadhani yanaletwa na nini hasa.Huruma sana.As long as watu wanaendelea kuwa vichwa ngumu,maangamizi yataendelea kuwa makubwa sana.
 
Mkuu utafiti umefanywa na wataalam waliobobea katika swala hili na ni kweli.Acha kunywa soda ni hatari kwa afya yako.Hakuna swala la kuharibu biashara za watu hapo.Hivi ninyi mnadhani huku kuongezeka kwa magonjwa kama cancer,figo,ini nk.kunatokana na nini?Tustuke jamani.
 
Hayo maelezo hayatoshi kuthibitisha athari ya unywaji wa soda.
Viwango vya kemikali vilivyopo kwenye soda vimewekwa kwa viwango vinavyokubalika kimataifa. Sidhani kama viwango hivyo vinaweza kuruhusiwa ilihali vinaleta madhara kwa afya ya binadamu.
Wangeshauri mtu anaruhusiwa kunywa kiasi gani cha soda kwa muda gani ingesaidia zaidi.
 
Kunyweni coke zero,..hii ina 0-suger,0-fat,0-calory,..hii soda haina sukar hata chembe ,ina compound unaitwa aspartame,hyo ina ladha ya sukar ila yenyew si sukar..
 
kwan usipokunywa hiyo soda ndio utakuwa umeepuka kifo?
Mawazo backward na ya kijinga sana haya! A Tanzanian at his best.

Mkuu vipo vifo vya kijinga na kufa prematurely kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika ni ujinga na mtu mwenye busara na hekima anaepuka kufa kijinga.
 
Kunyweni coke zero,..hii ina 0-suger,0-fat,0-calory,..hii soda haina sukar hata chembe ,ina compound unaitwa aspartame,hyo ina ladha ya sukar ila yenyew si sukar..
Yaani tunadanganyika sana.Umeambiwa soda haina kitu nutritionally,why don't you just forget about it after all.Jamani hiyo inayoitwa soda isiyo na sukari ni udanganyifu tu,that has the same detrimental effect as soda with sugar.Hawa wanachocheza nacho ni chemicals zinazotumiwa kutengeneza the so called soda,lakini effects remain the same.Kumbuka the ultimate aim ni kufisha or global depopulation.
 
Baba angu ana kisukar,akinywaga soda za kawaida hua ni shida,..ila,akinywa coke zero hua anakua kawaida tuu,na hapo ndipo nilipo confirm kua coke zero haina suger...so hunambii kitu hapa,labda madhara yawe ya hyo acid na zile rangi ma hyo coke ila kwenye suger kwakwel haina
 
Huu mwaka wa 20 bado nanywa soda na sioni chochote
Mawazo haya sio ya busara kabisa mkuu.The guys are more intelligent than you think.Watafanikiwaje katika malengo yao kama watu watakufa ghafla na hivyo watu kustuka?So,they kill slowly, ili watu wasistuke.Kwa hiyo wewe ndani mwako inawezekana mambo yanajikoki,utastukia una cancer nk.Sikuombei hili,ila kama huachi kunywa soda,that is a possibility.
 

tunalima vitunguu, mkuu vitunguu vinakula sumu asikuambie mtu tena sumu kali sana, mfano diclovos lavae ukivuta kwa wingi lazima ulale mbele, sasa iwe sprite bariiiidi iwe shida??
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuanzia leo Naacha kunywa soda haki ya nani..... nilikuwa na mkakati wa kuacha kutumia ila mara moja moja nilikuwa natumia, kwa thread hii Soda kwangu mwiko.... hapo nyuma nilikuwa nakunywa soda kati ya 3-4 kwa siku. nikapunguza hadi kufikia moja...ila sasa NAACHA KABISA.

Kuanzia Leo Naanza kutumia;

1.Maji kwa wingi

2.Maziwa fresh

3.Juisi za matunda asili nitakayotengeneza

4.Wine kidogo usiku baada ya kula, kabla ya kulala..[emoji4]

KAMA KIMOJA KATI YA HIVI KINA MADHARA PIA NIAMBIENI NIKIACHE !![emoji15]
 
Nilisema wanacheza na chemicals zilizoko ndani ya soda,ila they make sure ultimate effect ni ile ile.Zipo substitutes nyingi za "aspartame" ambayo ndiyo chemical/sumu inayotumika kuleta utamu kwenye soda.Chemicals hizo zinaleta cancer na kisukari pia.Mkuu dawa ni kuacha madudu hayo,mbona sio chakula?Mshauri mzazi wako aachane nayo,anajidanganya kwamba hayana madhara.
 
Katika hivyo hakuna chenye madhara mkuu,ila wine usinywe mpaka ukalewa.Kama ulivyosema kunywa glasi moja tu.

Umefanya uamuzi wa busara sana mkuu,hongera.Sasa saidia sasa kupeleka elimu uliyopata kwa wengine ili tuiponye jamii yetu.Watu wanaangamia mkuu.
 
Ni kwel unayosema wala siping,..najipa moyo tuu kwakua napenda soda...cha maana ni kuacha tu
 
Pepsi ya bardi na iheshimiwe na watu wote
Basi,Kisukari,Cancer,Herpatitis B,High Blood,Low Blood Pressure,Kidney Diseases etc.viheshimiwe na wewe na watu wengine wote.
 
tunalima vitunguu, mkuu vitunguu vinakula sumu asikuambie mtu tena sumu kali sana, mfano diclovos lavae ukivuta kwa wingi lazima ulale mbele, sasa iwe sprite bariiiidi iwe shida??
Haya mawazo ni pungufu sana mkuu.Kumbuka kwamba kitunguu ni kiumbe hai,kwa hiyo kina uwezo wa ku-break down sumu,kama na wewe kiasi fulani ulivyo na uwezo huo, kama huja overload ini lako kwa masumu!Come back to your senses mkuu,acha kutetea vitu visivyofaa.Na hata kama vitunguu visingekuwa na uwezo wa ku-break down poisons,si busara kupunguza the amount óf poisons going into your body, ili ulipunguzie ini mzigo?
 
Basi,Kisukari,Cancer,Herpatitis B,High Blood,Low Blood Pressure,Kidney Diseases etc.viheshimiwe na wewe na watu wengine wote.
Kama unakula kitimoto na unaponda soda....hamna kitu unachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…