Wanywaji wa Soda hatarini

Babu yangu ana miaka 92 alianza kunywa soda miaka zaidi ya 40 iliyopita anadunda hadi kesho. Propaganda tu hizo.
Kuna professor mmoja huku ni specialist doctor ni mzee umri umeenda but soda yake ni Coca-Cola. Mimi siachi soda na hayo macomplication sipati ng'o!
 
Mimi Pepsi ya baridi siachi
 
Papuchi ni Sumu pia. Ila hatutaacha kuilamba. Hakuna facts hapo ni yekeyeke tu.
 
Bidhaa zote zeńye madhara huwa zinakiwaga na ujumbe wa onyo kama pombe na sigara
Mbona sijaona kwenye soda huo ujumbe ya kuwa unywaji soda kupita kiasi ni madhara kwa afya yako[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Nimegundua Kiungo pekee kinachofurahia soda ni ULIMI tu. Zinatosha nilizokunywa. Nimeacha soda rasmi leo tena sasa hivi [emoji22]
 
Kansa ipi! au umemaanisha "kolapsheni"?
Ha ha ha haaaa

Sio vizuri kuvunjana mbavu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Babu yangu ana miaka 92 alianza kunywa soda miaka zaidi ya 40 iliyopita anadunda hadi kesho. Propaganda tu hizo.
Safi sana mkuu. Huu ni upuuzi fulani tu. Tqngu lini tafiti za maana zikafanyika Tanzania? Soda ni kinywaji cha kimatafa na kimekuwepo miaka kibao kabla ya hao IJUTA. Watu kibao duniani huko ndiyo kinywaji chao na hawafi.

Halafu nawashangaa hawa IJUTA wameshindwa kufanya uchunguzi wa madhara ya udikteta uchwara Tanzania halafu wanakomaa na soda?
 
Ongezea na:-
+Mchicha/mboga mboga za kwenye maji machafu ya viwandani na majumbani
+Maziwa ya ng'ombe aliyedungwa sindano siku 3 zilizopita.
+Ugali wa dona wa mahindi yaliyohifadhiwa kwa dawa halafu yakasagwa bila kuoshwa.
+Nyanya zilizopuliziwa sumu ya kuzuia kuoza wiki moja kqbla ya kuchumwa.
+Nyama ya ng'ombe aliyepigwa sindano halafu akazidiwa kisha akachinjwa.
+Samaki waliovuliwa kwa sumu
Ndugu waambie kqbisa, dunia ya leo kuepuka sumu labda mtu aamue kujinyonga
 
Yani kusoma taarifa za wenzenu na kuziandika kiswahili ndio mnaita "investigative journalism"? Aibu!
 
Naomba niwakumbushe hichi IJUTA , mliogopa kuweka na huu utafiti ambao coca cola na pepsi wanatumia gharama kubwa kuuzima au nanyi mumehongwa .

coca cola na pepsi wamekubaliana kuondoa kitu kinachoitwa BVO [ brominated vegetable oil} katika soda.

coca cola walisema watatoa BVO yote katka vinywaji vyao mwaka 2014, pepsi wao waliahidi mwaka 2013.

Japan wao waliamua kupiga marufuku kabisa product za coca na pepsi , ingawa baadaye pepsi alirekebisha product yake ikapata access kabla ya coca.

usalama wa hii additive bado ni debetable issue duniani , kuna nchi wanakubali na kuendelea kufanya biashara na coca na pepsi na hii ni kutokana na upande wa kiuchumi wanaopata kuliko kuangalia kiafya .

Nilivyotafiti mimi na kwa mujibu wa mtandao wa https:mercola.com . BVO inaleta madhara mengi sana kuliko faida

- magonjwa ya akili( neurological impairment) na inaondoa iodine na kuleta goitre , kansa ya kizazi ,matiti, uvimbe,unene amabao unapelekea kisukari kwa haraka sana . daalili za watu walioathiriwa na BVO ni

1. kichwa kuuma mara kwa mara
2. kuchoka sana
3. kusahau sahau
4. kukosa hamu ya kula vizuri unachagua vyakula
5.maumivu ya tumbo la chini
6. vipele vyekundu visvyowasha
 
Naomba niwakumbushe hichi IJUTA( investigative journalist union of tanzania) , mliogopa kuweka na huu utafiti ambao coca cola na pepsi wanatumia gharama kubwa kuuzima au nanyi sijui mumehongwa .

coca cola na pepsi wamekubaliana kuondoa kitu kinachoitwa BVO [ brominated vegetable oil} katika soda.

coca cola walisema watatoa BVO yote katka vinywaji vyao mwaka 2014, pepsi wao waliahidi mwaka 2013.

Japan wao waliamua kupiga marufuku kabisa product za coca na pepsi , ingawa baadaye pepsi alirekebisha product yake ikapata access kabla ya coca.

usalama wa hii additive bado ni debetable issue duniani , kuna nchi wanakubali na kuendelea kufanya biashara na coca na pepsi na hii ni kutokana na upande wa kiuchumi wanaopata kuliko kuangalia kiafya .

Nilivyotafiti mimi na kwa mujibu wa mtandao wa https:mercola.com . BVO inaleta madhara mengi sana kuliko faida

- magonjwa ya akili( neurological impairment) na inaondoa iodine na kuleta goitre , kansa ya kizazi ,matiti, uvimbe,unene amabao unapelekea kisukari kwa haraka sana . daalili za watu walioathiriwa na BVO ni

1. kichwa kuuma mara kwa mara
2. kuchoka sana
3. kusahau sahau
4. kukosa hamu ya kula vizuri unachagua vyakula
5.maumivu ya tumbo la chini
6. vipele vyekundu visvyowasha
 
Kwa hiyo chochote processed (kuwekewa chemicals) ni hatari? Tule nini? Kama dawa tutumie miti shamba?? Kuku sawa utakula wa kienyeji je hutaweka chumvi iliyotoka kiwandani? Ni shida, tupige maombi au!!
 
kwan usipokunywa hiyo soda ndio utakuwa umeepuka kifo?
 
Acha tufe tu hii bongo hakunakilicho salama hata demu wako unahuhakika yuko salama mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…