Kwa hiyo umefuata masharti tiba lishe? Mkuu una-miss utamu!Kuna miaka nilikuwa km teja, bila pepsi msosi hauendi..
Asubuhi napiga moja, mchana kwenye msosi, usiku tena kwenye msosi..
Ile gesi ikipita kooni kuna namna inaburidisha koo, nsigida kwa nguvu kisha natoa ile gesi(mbwewe)
Ila siku hizi nimeacha soda, mwaka huu nimekunywa mara 3 sijui.
Wasambaa hii mazee utawasikia chungwa ni ntamu aisee lakini Fanta ni kibokoo..Wapare wana kamsemo wanasema FANTA NI TAMU LAKINI PEPSI NI KIBOKO
Wengi wanywa Pepsi hata mifupa yao imeisha regea hakuna kama Chai ya tangawizi warabu waliona mbali hapo inasafisha kabisa mishipa damu inatembea safi kabisa.
Acha kabisa hakuna mfanoCoca au pepsi ni nyokhoooo....kipindi cha jua kali upate ile ya baridi
IpiSoda ni hatari sana kwa afya yako
Nimekuwa addicted ni hii kitu week hii nimeamua kuacha maana kila sku lazima ninywe 1 au 2 zile take away. Nimeamua nianze kuwa mwangalifu na vitu ninavyokula na nimeanza na pepsi na mavyakula ya kukaanga yenye mafuta.Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Kwa hiyo umefuata masharti tiba lishe? Mkuu una-miss utamu!
Hahaha ila mkuu wee mbishi sana😆😆😆😆👆🏿👆🏿Wengi wanywa Pepsi hata mifupa yao imeisha regea hakuna kama Chai ya tangawizi warabu waliona mbali hapo inasafisha kabisa mishipa damu inatembea safi kabisa.
Mambo ya pass hayo ya baba mdogo.Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Waweza toa hata ndogo kwa Myahudi upate mabaraka , Maarass Mongo!!
Ubishi una faida sometimesHahaha ila mkuu wee mbishi sana😆😆😆😆👆🏿👆🏿
Usenge Tena...Mnawazaga usenge
Inaonekana,Yahudi anaweza akakushika tako,na ukachekelea tu,kwa kuona kua amekubariki,
Kwa hiyo umefuata masharti tiba lishe? Mkuu una-miss utamu!