Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Dah bwana mdogo umenikubusha zamani 80's wakati naanza kunywa pombe nilikuwa napenda kulewana pia nilienda watu wakijua nimekunwa pombe nilisi ubinwa laki baada ya kuua .........inakuwa kawaida tu! nahisi bao upo kipidi cha mwanzo!

Mkuu tatizo unakunywa vibia vya wanawake...Wanaume tunakunywa Guiness..Welcome to the Table of Men
Light mixer nzazi alaf kamata mtt mweupe..nilizimisha mtu aisee
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.
Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:
He he kwani lite si bia nyenye ngano kitambi pale pele mkuu zote ni ngano na jamii yake au unafikiri castle lite si bia?
bora anywe hiyo LIGHT kuliko kuwa na MICHEPUKOOOO
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
lite mnakunywa matoz wa dar sisi wa Mwanza yetu nj BALIMI
Wazungu wanafiki tu huko kwao tumefika na tumeona wao pia ni walevi tu na baa wanakaa mpaka usiku wa manane
tena walevi umbwaaaa kabisa ma rehab kibao huko kwao,nenda Russia,nenda England tena kunasiku nilisoma kwenye gazeti la the sun eti waingereza walikuwa wanasema kuwa waingerezai wanawaitwa walevi(booze) lakini wao wamarekani ni mabingwa kwa obesity