Wanywa castle light

Hakuna beer hapa bongo yenye ladha safi na ya asili ya beer kama caatle lager na safari uongo dhambi.
 

He he kwani lite si bia nyenye ngano kitambi pale pele mkuu zote ni ngano na jamii yake au unafikiri castle lite si bia?
 

Pia wapo wanaokunywa kinywaji kwa kufuata umbile la chupa, mfano Ndovu zamani walikuwa na chupa kubwa wanywaji walikuwa wachache lakini baada ya kubadilisha chupa wanywaji wameongezeka!!!
 
Da ebana ngoja na mie nijaribu hizo lite maana kitambi yangu naona inanipa shida,halafu siku hizi nikinywa ile bia yangu Caslte Lager huwa inanipa hangover sana,i think its time to shift to this beer.

Mzee ako ka light ni kachupa kadogo ukimimina kwa glass mara moja kameisha, kili phanto ndio mpango mzima
 
Da ebana ngoja na mie nijaribu hizo lite maana kitambi yangu naona inanipa shida,halafu siku hizi nikinywa ile bia yangu Caslte Lager huwa inanipa hangover sana,i think its time to shift to this beer.

Mkuu hiyo light huoni kama ni kadogo sana! We piga hilo lager tu
 
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno

Mkuu tatizo unakunywa vibia vya wanawake...Wanaume tunakunywa Guiness..Welcome to the Table of Men
 
Tisa tu nilisha kula 21 na nikadrive mpaka hm na sikufeel kulewa kabisa ,zile zinawafaa wanafunzi wa kilevi sisi wazee wa viroba is jus a wastage of money n time...!

Yaani baada ya kunywa 9 sioni stimu, nakaona dalili za hasara, ikabidi fasta nihamie safari nipate stim
 
mimi napata red wine unasemaje?
 
Tongoa ,tongoa mwanakwetu jipole lielewe!oh nimekumbuka nyumabani!sema sema zuzu aelewe!
 
Niliwahi kwenda kwenye sherehe ilibidi nisitishiwe huduma ya vinywaji............hivyo vilite shida tu nilipiga karibu ishirini sisikii kitu..........halafu unaingia bar unakuta mtu anainywa kwa glass.Mwendo JD huna pesa gonga Castle lager za moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…