Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Hivi dhumuni la kunywa ni kulewa ?
Mrudie Mungu wako wewe
Castle lite inaleta heshma ndani ya ndoa. jaribu leo utaona mwenza atakavyo badilika.
Mada ni CASTLE LITE na inavyoleta heshma ndani ya ndoa na sio dini au imani za wengine. Inawezeka kabisa kuchangia na kufurahishana bila ya kkuingilia uhuru wa mwengine na imani yake.
Ok nitajaribu, ila napenda sana stimu kwa kichwa
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.
Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Mkuu umekunywa Kesto Laiti au Amarula?
Light beers ndio mpango mzima siku hizi kama hutaki kitambi wala hangover.Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Teh teh naendelea na vi-castle lite kwa kuwa nakunywa kuburudika tu.Mkuu wewe kwa ushauri huo wa huyo mzungu, ulichagua upi ambao ungekufaa bila kujali kama unakunywa au la!
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.
Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:
Naona umepanic bro.Yaani mijitu mingine inaona kila mzungu ana akili au kuulizwa na mzungu ni ujiko. Kwa nini hukusema nilikaa na jamaa yangu foreigner. Mzungu gani huyo anakunywa sinza mapambano kama sio lkiraka tu huko kwao.