Unasema ni mapema sana kuyasema huku umeshasema?Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi.
Nimereview hotuba ya leo ya Mh.Rais Samia Suluhu,kitu nimenote ni kwamba uongozi wake unaencourage sana watu wenye kipato cha juu .Zile zama za unanijua mm nani naonae zinarudi.
Gape la wenye nacho na wasio nacho litakuwa kubwa.Rushwa itashika kasi hasa huko TRA.
Wasiwasi hawa watu (Wanyonge) kumkumbuka JPM muda si mrefu.Any way ni mapema sana kuyasema haya ,wacha tuone.
Zama hizi sio zama za wanyonge ni zama za wavujajasho wanaojituma pamoja na makabwela wanopambana na maisha. Mama amekuja kuwainua hao kkwanza.Mambo ya wanyonge baki nayo wewe kwanza.Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi.
Nimereview hotuba ya leo ya Mh.Rais Samia Suluhu,kitu nimenote ni kwamba uongozi wake unaencourage sana watu wenye kipato cha juu .Zile zama za unanijua mm nani naonae zinarudi.
Gape la wenye nacho na wasio nacho litakuwa kubwa.Rushwa itashika kasi hasa huko TRA.
Wasiwasi hawa watu (Wanyonge) kumkumbuka JPM muda si mrefu.Any way ni mapema sana kuyasema haya ,wacha tuone.
Wa chaaaTO😄😄Boda boda ni wanyonge wa wapi?
Wanyonge ni futureless people watu hoe hae wasio na mbele wala nyuma.Ni mtaji wa madikteta.Wanyonge ni watu wajinga ambao hawajitambui ...
Kataa unyonge...
mbwa.Kabla ya hapo wakiitwaje....
Hawa ndio ulikuwa unasikia tutaelewana sijui utasikia mitano tena kumbe ni wivu na uvivu tu umewajaa wanatamani kila mtu awe masikini kwa uvivu wao.
Hivi inakuwaje mtu unajisikia fahari kuitwa mnyonge??
Umemsahau Sabaya. Kilangila.Hivi kipindi cha jpm akina Heri,Muro,Bashite si walikuwa na uwezo hata wa kukushuti in public na wasifanywe kitu
Unaongea nini wewe
Amen. Kilangila.Populist alikufa kwa Corona!Mungu ni mkubwa sana.
Huu utahira sijui mtaacha liniSiku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.