Hapana kwa numbers na kila kitu Ronaldo kazidiwa. Hisia ziwepo zisiwepo. Nilisema ubora kwa namna ya kuweka perspective ila we all know Messi is the π. Of course kila kizazi na magwiji wao ila the talk of the town ni hawaNani bora nani sio bora ni mitizamo ya kihisia zaidi ila tumefanikiwa kuona wachezaji na waliodumu kwenye kiwango cha juu Kwa zaidi ya miaka 10, sidhani kama Kuna kizazi kitapa hiyo bahati.
Ronaldo amecheza kwenye Ligi tatu bora na kote amecheza Kwa kiwango cha juu na kushinda Mataji makubwa wakati messi ameshindwa Fanya hivyo.Hapana kwa numbers na kila kitu Ronaldo kazidiwa. Hisia ziwepo zisiwepo. Nilisema ubora kwa namna ya kuweka perspective ila we all know Messi is the π. Of course kila kizazi na magwiji wao ila the talk of the town ni hawa
Duuh mbona hicho kigezo kama hakina weight simtetei Messi ila japo kuwa Ronaldo kaonesha peak kote kote ila bado Messi kafanya makubwa kumzidi Ronaldo. Sio ki statistics tu bali hata performance wiseRonaldo amecheza kwenye Ligi tatu bora na kote amecheza Kwa kiwango cha juu na kushinda Mataji makubwa wakati messi ameshindwa Fanya hivyo.
Ukiondoa Barcelona Messi kwingine hakuwai na performance hiyoDuuh mbona hicho kigezo kama hakina weight simtetei Messi ila japo kuwa Ronaldo kaonesha peak kote kote ila bado Messi kafanya makubwa kumzidi Ronaldo. Sio ki statistics tu bali hata performance wise
Let's close this Hawa ni wachezaji wazuri nani bora zaidi ya mwenzie tuachie tu hisia na mapenzi binafsiNa ndio sehemu aliyokaa sana
Weka number hapa goals, assist, na trophySawa but numbers never lie ni kujifariji ukiwa unajua kabisa ukweli
Dahh πHakika, kama haoni ilo inabidi atafute muda ajitafakari kuhusu yeye
Hizi Sasa ni hisia πππRonaldo amecheza kwenye Ligi tatu bora na kote amecheza Kwa kiwango cha juu na kushinda Mataji makubwa wakati messi ameshindwa Fanya hivyo.
You're not serious ππWeka number hapa goals, assist, na trophy
Cr7 hayupo hata kwenye top 5 ya wachezaji wa muda wote dunianiMessi na Ronaldo wote ni GOAT utofauti wa CR7 upo sehemu Moja Messi ni Alien na CR7 ni extra ordinary
Cr7 hayupo hata kwenye top 5 ya wachezaji wa muda wote duniani
Mean while Nguli wote wa mpira duniani wana muweka Messi kwenye top 3 battle ya pele maradona na Messi akiwepo
So Hao wanao jaribu kumfananisha Messi na cr7 Huwa wamechanganyikiwa ama ni Nini !?
Kwanza Kwa ile mechi ya majuzi tu Kwa ule mpira alioupiga Messi Akiwa katika ule umri alio nao na mambo anayo yafanya it's a miracles ilitosha tu kuwafanya wanao muweka same level Messi na Ronaldo waone haya
Lakini ndio hivyo Tena ushabiki maandazi ume watawala period
HakikaMessi ni Alien sio binadamu wa kawaida
Cr7 hayupo hata kwenye top 5 ya wachezaji wa muda wote duniani
Mean while Nguli wote wa mpira duniani wana muweka Messi kwenye top 3 battle ya pele maradona na Messi akiwepo
So Hao wanao jaribu kumfananisha Messi na cr7 Huwa wamechanganyikiwa ama ni Nini !?
Kwanza Kwa ile mechi ya majuzi tu Kwa ule mpira alioupiga Messi Akiwa katika ule umri alio nao na mambo anayo yafanya it's a miracles ilitosha tu kuwafanya wanao muweka same level Messi na Ronaldo waone haya
Lakini ndio hivyo Tena ushabiki maandazi ume watawala period
Ronaldo delima anaheshima yake kwenye soka haiondoi upendeleo wa kibinadamuYou're not serious ππ
Mfikie hatua muwe mnaukubali ukweli Messi ni Jini sio mtu yule
Nimetoka YouTube Leo nilikuwa nina tizama mahojiano ya Ronaldo delima akiwa na romalio kumbuka hao ni watu wenye experience wameuishi mpira Kwa kushiriki kuucheza wanajua hisabati zake na wanajua wanacho kifanya na kukuona nitofauti ya Mimi na wewe ambao ni mashabiki tu
Basi walikuwa wana ulizwa na Hosts Je ni yupo mchezaji Bora kati ya pele maradona na Messi
Ronaldo delima amesema wazi kabisa kwamba alipofikia Messi maradona na Pele it's very very hard to choose who's better
Huyo ni Ronaldo delima ndiye katamka maneno hayo gwiji wa soccer anaye heshimika duniani
Halafu wewe na wenzako mnakuja hapa kubisha tu kwamba eti cr7 is better , you dude Hivi unahisi hata unachokiwaza sawa sawa kweli !?
Maana kwanza ncheke π