Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri, huyu Msomali Rage aligombea ubunge hapo Tabora mwaka 1995, katika kura za mapendekezo aliongoza alipata karibu kura zaidi ya 1600 na wa pili alipata kura 800, inasemekana kulikuwa na gari aina ya randrover 109 ilionekana ndani yake kulikuwa na watu wanagawa mlungula, basi gari hiyo ikahusishwa na Rage. Vikao husika wakati huo vilikuwa vinaongozwa na Mwl. Nyerere vikakata jina la Rage asubuhi tu kabla ya saa nne.

Ndio maana Rage mpaka leo hampendi Nyerere kwa maana kwanza alimfukuza kazi akiwa CDA, pili alikata jina lake na kuzuia asigombee ubunge ni hadi hapo yule Mzee alipokufa ndo Rage kapata ubunge.
 
Kwani umeambiwa Rage ni dereva wa treni, nenda kapige mswaki huko, na uwambie huo ukoo wa Mwanansali watume posa wakupose naona umewapenda
 
ebaeban, hivi Wewe Mbona vita vyako ni kama vile umeshavurugwa na Rage, utuambie kama Rage ana tabia hiyo tusimpe tena kura zetu. Funguka tukusaidie
 
Last edited by a moderator:
Laana nyigine ipo kwetu Ruvuma.Nchimbi,Komba,Mhagama,Mtutula,Ramo,Kawawa.Wabunge wote mkoa mzima CCM.Na ni wazawa lakini mkoa taabani kwa umasikini.
 
Kaka si wanyamwezi wote, ni ka kikundi ka wanyamwezi wachache tu wachumia tumbo ambao wanapoka mila na desturi zetu za asili kwa kujinufaisha matumbo yao.
 
Mh huyu jamaa hata simba ilimshinda japo aling'ang'ana mpaka mwisho kwel Tbr tumelegea kapuya na sita wapo mbungen si chin ya 25 yrs bado Tbr hasa urambo hakueleweki twaroha bhagosha
 

Mama yako kaolewa na Sugu ndo maana tulimchagua. Rudi kwenu tabora kahangakie umwinyi wako tuachie Mbeya yetu iliyobarikiwa.
 
Ole wao wale ambao ni watumwa Wa wasomali na waarabu. Wanatakiwa wa ndio watawaliwe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…