life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Dar-Es-Salaam walikaa waarabu na wakawaRithisha jina la kiarabu mbona kuna maendeleo na hata chuoo na mashule waliwajengea?!! NA majina yao bado mnayavaa !! Achaa uzembee Waarabu walikufundisha kuvaa nguo wewe na kujistiri maishani mwako na hiyo lugha unayozungumza na kuandika waarabu wamekufadhili ..hashakum ningeendelea lakini naheshima wanaJf hapa !!Sehemu yoyote iliyokaliwa na watu wageni wengi hasa waarabu, huwa hakuna maendeleo hata kidogo. kazi ni kuwaajili wazawa kwenye garage zao basi na kuwalipa viposho vidogovidogo kila siku na kuwaacha wa-ji-nga vile. wewe fikiria nimeenda pale Tabora school mwaka 2001, hata daladala hakuna, ni baiskeli tu.
Wana hali mbaya sana.
Mkuu Kigoma sasa imeipita Tabora kimaendeleo.tabora kigoma ni mapacha wawili wasiojua wazazi wao , mmoja anamjua mama mngine anamjua baba , siku wakijuana watashinda famila zote zilizokuwa zinajivunia wazazi , my point fursa ya tabora itatoka kigoma na fursa ya kigoma tabora hawa wabunge waliiangalie hilo siyo bla bla tu , hata akichaguliwa nani kama hawataliona hilo tunatwanga maji katika kinu , siku mikoa hii ikifunguka vizuri wakulima , wafanyabiashara , wavuvi, watanufaika sana lakini nionavyo mimi watu wa kigoma ndiyo wanaolilia zaidi barabara kuliko wenzetu wao na simba utafikiri simba ni maendeleo ya miji . FUTA DELETE KABISA RAGE +SERUKAMBA
Mkuu huu si utani, tumezidi, angalia Wanyamwezi walivorundikana Kigamboni na Unguja na wanavoleta maendeleo huko lakini kwao hakuna.Hapo ni Utani tu kati ya Mgogo na Mnyamwezi wala si kingine
Acheni basi mmetosha kuumbua mnataka mpaka mtuvue nguo?????????
Mkuu huu si utani, tumezidi, angalia Wanyamwezi walivorundikana Kigamboni na Unguja na wanavoleta maendeleo huko lakini kwao hakuna.
Imetosha jamani hivi mnataka mpaka iweje?????Mwishowe mtatuvua na nguo maana mnazidi tu kuchokonoa mwishowe mtachokonoa na mengine.TUACHENI TUPUMUE!!!!!!
kwa speed nayoona inawezekana mkuuMkuu Kigoma sasa imeipita Tabora kimaendeleo.
haha..hao mashujaa wao si walikuwa mashujaa wa kuuza watumwa..Sasa kwanini leo wasifanya hivyo ili kuienzi historia na ushujaa wanaousoma kyk histroria ya Pwani(ya CCM).Niliwahi sema hapa Historia ya MKwawa, Kinjekilitile, Mirambo, Abushir...ni kituko na ushujaa wao hauna kitu zaidi ya laana kwa nchi..Ila janja ya wapwani ni kuwageuza mashujaaa ..ili baadae wapewe heshima ya dini kuwa walipigania haki...huku waliuza wenzao waliokuwa si dini yao, na wlaipigana na wamissionary na si wakoloni wa kizungu.
Nani kawaroga wanyamwezi?
Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.
Grave mistake ya kwanza
Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.
Grave mistake ya pili.
Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.
Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.
wewe mwenyewe labda umekimbia kwenu huko unasema tu
safi sana wanatabora fanyeni maamuzi magumu
mkuu unamaanisha mimi?
Ni kweli kuwa kwa muda mrefu sipo tabora kimakazi kutokana na kupangiwa kazi na serikali nje ya mkoa wangu lakini still my homeland is the best place to live for me among all regions of tanganyika. Lakini nimeshaanza kuwekeza kwetu taratibu kwani plan yangu nistaafie mkoani kwangu.
Kama na wewe ni wa-kukaya naomba uniunge mkono na hii kampeni ya kuwarudisha vijana mkoani kwetu, kwasasa kuna fursa nyingi tu zinazoweza kukupa kipato cha kukuwezesha kukidhi haja zako kwa kiwango kikubwa sana tu. Maendeleo ya tabora yataletwa na vijana wa tabora, kuendelea kuwalaumu wakina rage wakati sisi tunakaa dar tunawaacha wazee wetu tu tabora matokeo yake wananunuliwa na ccm kwa sabuni na sukari kamwe hatutaendelea.
Hebu watuache tupumue hah!!