Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.

Vipi part II ya vita ya Kagera?
 
Wanyamwezi, heri aliyewaroga angekuwepo tungeomba radhi tusamehewe, lakini bahati mbaya alishakufa sasa sie tuliobaki tujitundike tu!
 

Mwe jama, hata ninyi wa dodoma si mnao mbunge msomali. Niseme nisiseme? Tena wakweeenu, kapatikana na rushwa ili hesabu za sirikali zisikaguliwe.
 
Blayi wa Mpwapwa natumai sisi Wasukuma hujatuunganisha na Wasukuma wa Kusini (Wanyamwezi)!! La sivyo shingo yako ni halali yetu.

OUT OF TOPIC

Nasikia Wanyamwezi wanakuwekea kikao muda huu!

Mbea wewe mnyamwezi wa North; kikao kwa ajili ya huyu mshamba mla ubuyu? Give us a break; kikao tukifanyacho ni cha mapinduzi ya kweli (kisiasa kwanza halafu kiuchumi), subiri 2015.
 
Unaweza kukuta "alijeruhiwa" na Kaka yako. Muulize vizuri atakwambia

Aise nami nina mashaka hayo hayo; tatizo alifikiri wanyamwezi ni "ndoho tabhu" tu sasa kajuzwa otherwise. LOL
 
Hebu Tuangalie viongozi / Wanaharakati wa kitaifa waliotoka Tabora:

1. Teddy Kaserabantu (RIP) - Bukene
2. Chris KasangaTumbo (PIP) - Sikonge
3. Chief Fundikira (RIP) - Kiparapara - Tabora
4. Mh. Kabeho (RIP) - Nzega

Tabora likukuwa chimbuko la Siasa / Wanasiasa Mahili kama nilivyowataja hapo juu - Ref. mkutano mkuu wa TANU 1958 pia ulifanyika Tabora.
Tabora Chimbuko la Elimu bora katika nchi yetu - Tabora Gils & Boys - miaka ile zikijulikama kama St - Mary's schools, Wanasheria, wanaharakati, Ma-engineer, Wanajeshi wa ngazi za juu pia wametoka katika shule hizi - hata Mwalimu alisoma hapo Tabora.

Hata mimi sielewi tumejikwaa wapi ndugu zangu - tupeni mawazo endelevu badala ya kutubeza, je Kuweka kambi kwa waarabu miaka ya 1800 ndiyo kumeifanya Tabora yetu iliyopo katikati ya Tanzania kuwa na kitabia cha umwinyi- mwinyi? kupiga soga, uvivu, vingenge ya gahawa, fitna nk
 
Akili finyu na wivu mwingi, Obama ni mjaluo na anaongoza taifa kubwa duniani na huwezi kusikia native yeyote wa America akimsema kwa asili yake labda tu amseme kwa tu kwa utendaji wake wa kazi, hivi unasubutu kuwatusi wanyamwezi hali yakuwa baba yako ni marehemu Matonya ombaomba. Use your head to think not MA------,Athank
 
Mbea wewe mnyamwezi wa North; kikao kwa ajili ya huyu mshamba mla ubuyu? Give us a break; kikao tukifanyacho ni cha mapinduzi ya kweli (kisiasa kwanza halafu kiuchumi), subiri 2015.

Leo Wasukuma wa Kusini mmepatikana, mkizidiwa mtuite!!
 
kwa sasa bado mi ni hostage siwezi hata kuongea chochote! Nipo icu magrumet niliyorushiwa sina hamu

Now l get it, mizigo ya kaka zangu si ya kitoto; pole na hongera with time utazoea. Nikuletee maembe mabichi?????
 

Huyu mgogo ni Mtani wa Mnyawezi ndio mana kaandika haya!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…