wanyama wanajua ukweli,wanyama wanajua uhalisia,wanyama wana imani kali,wanyama wanajua mapenzi,wapambanaji na wataftaji hawana kauli ila wana akili,mnyama anajua siri nyingi za dunia,nini ujuacho kwa mnyama??