Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
ahhaahaha wenyewe waje hapa jamvini wajibu....ila ninavyojua mimi kila moja lina maana tena ya Ki Imani zaidi...
kama
Anyigulile-Amenifungulia yaani kama zawadi hivi
Andendekisye(Andy)ametengeneza au amefanya
Ambwene-Aeniona au amesikia kilio changu..
Nk nk....ndaga fijo.......
nimesomea huko najua jua kidogo.
Mbona GWALUGANO haiishii na "A"
mara nyingi majina ya ukoo yananzia na Mwa;
Mwankenja
Mwampondele
Mwakasyuka
Mwainyekule
Mwamlima
Mwakyusa
Mwasongwe
Mwakalebela
Mwakalindile
Mwamunyange
Mwaipopo
Mwakyusa
Mwakalobo
Mwakibibi
Nk:
Yupo na Lusajo pia humu ndaniJamani kina Gwakisa Lole tusaidieni tafsiri please..tusijekuwa tumeandika matusi!
Lakini.. inapendeza kuwa na jina la Ukoo, kwa mfano Nkawa Mwakalindile na sio Nkawa George Michael, maana naona siku hizi watu wengi hawapendi kuendeleza majina yao ukoo (kiafrika zaidi) yaani kama baba yake anaitwa George Michael Mwakalindile, yeye ataishia George Michael. Imekaaje hiyo?
Gwalugano ni jina la kiume na Lugano ni la kike. Nashangaa siku hizi nimewakuta wanyaki wengi wa kiume wanaitwa lugano nadhani ni ubishoo wa kuliandika na kutamka.Mbona GWALUGANO haiishii na "A"