ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 384
- 298
inategemea we unataka kununulia wapi, hapa hapa morogoro au dar es salaam? maana kuna nitakaouza hapa moro na mwengine nitakoboa na kuupeleka dar es salaam kwajili ya mauzo hivyo bei itategemea na wewe unapotaka kununuliaunategemea kuuza bei gani, naweza kukusaidia kuuza kama nitaona kuna maslahi !
ndio nauza kwa gunia nduguunauzaje kwa gunia?
kwa huku morogoro debe moja ni tsh 10,000 nduguKama ni mpunga debe bei gani?
Wingi wa maneno unatuchosha.inategemea we unataka kununulia wapi, hapa hapa morogoro au dar es salaam? maana kuna nitakaouza hapa moro na mwengine nitakoboa na kuupeleka dar es salaam kwajili ya mauzo hivyo bei itategemea na wewe unapotaka kununulia
Mbabaishaji tu huyu jamaaMkuu unashindwa nini kuweka bei ya kugunia/debe la mpunga
nimetaka price ya guniandio nauza kwa gunia ndugu
kwa wanunuzi wa huku morogoro nitauza. mpunga tu na gunia la mpunga (debe 7) ni tsh 65,000, nitauza gunia 15 au 20 ili nipate ela ya kusafirishia mchele kupeleka dar es salaam, na kwa dar es salaam nitapeleka mchele na bei itakua ktk makund mawili makuu,Wingi wa maneno unatuchosha.
Andika :-
Nikifikisha Dar kwa gunia la debe 6
Mpunga Sh.......
Mchele Sh.........
Ukiufuata morogoro kwa gunia la debe 6
Mpunga... ...
Mchele.......
Mbabaishaji tu huyu jamaa
Mkuu unashindwa nini kuweka bei ya kugunia/debe la mpunga
Asante, najipanga ukifika town angalau nichukue gunia 2.kwa wanunuzi wa huku morogoro nitauza. mpunga tu na gunia la mpunga (debe 7) ni tsh 65,000, nitauza gunia 15 au 20 ili nipate ela ya kusafirishia mchele kupeleka dar es salaam, na kwa dar es salaam nitapeleka mchele na bei itakua ktk makund mawili makuu,
(1) mchele utokanao na mpunga mkubwa (super) nitauza tsh 160,000 kwa gunia yani kilo 102.
(2) mchele wa mpunga mdogo (huku wanauita saro) ni tsh 120,000 kwa gunia yan kilo 102.
NOTE,
bei hizi zinaweza kubadilika kulingana na soko litakavyokua wiki ijayo maana jumamosi hii ndio naanza kuvuna.
ok, nitawajuza humu kiasi nitakachokipata baada ya mavunoAsante, najipanga ukifika town angalau nichukue gunia 2.
Mkuu shida yake ujamtatulia nawe unaleta ya kwakoMkuu masbamba ya kumwagilia naweza pata?
nipe darasa vizuri, nawezaje kulima kisasa? yani ndio kulimaje huko mnakokuita kwa kisasa? nini na nini kinahitajika ili niwe nalima kwa kisasa??Mkuu ekari sita ulitakiwa upate zaid ya gunia 300, ukilima kisasa
kwakweli bado sijajua kama yanapatikana maana huku tunategemea zaidi mvua, hakuna mito ya kugumu yani kipindi cha mvua mito hujaa maji kweli na huwa mikubwa tu ila kufikia mwezi wa 9 mpaka wa 10 mito yote ukauka na kua pakavu kabisa yan adi matrekta na vyombo vyengine vya moto huweza kutembea mashambanMkuu masbamba ya kumwagilia naweza pata?