Uncle Mabiki
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 139
- 203
Kweli haeleweki maana gunia la mchele ni 100 kgHueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
Haeleweki vipi na keshasema gunia la mchele kwa Tabora ni Tzs 70,000!!!Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
Yani wabongo bhana kwa kumzodoa mtu utadhani wao hawajawahi kukosea asee kama kuna sehemu mtu amekosea basi mrekebisheni na si kumzodoa mazee!!Haeleweki vipi na keshasema gunia la mchele kwa Tabora ni Tzs 70,000!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
Gunia la mpunga samahaniHueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
Nimerekebisha mkuu
Nimerekebisha mkuuKweli haeleweki maana gunia la mchele ni 100 kg
corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
AsanteYani wabongo bhana kwa kumzodoa mtu utadhani wao hawajawahi kukosea asee kama kuna sehemu mtu amekosea basi mrekebisheni na si kumzodoa mazee!!
Corona ipo na inaua wakuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wasukuma huwa hatujui tofauti ya mchele na mpunga,Mimi mwenyewe wakati mwingine huwa nachanganya sana,maana huku usukumani wali wanaita mchele ,mpunga wanaita mchele ,ila najua jamaa kamaanisha mpunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahhaahahahaahah
Ni kweli maana nzega hapa Tabora vijana wakila harusini,wanasema tumepiga mpunga na chaiMkuu usicheke,usishangae kumsikia msukuma akikwambia Jana tulikula mchele na maharage,ukiona hivyo wewe jua alikula wali .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo bei kubwa sanaaaaaa,Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000
Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya
Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368
Haeleweki vipi na keshasema gunia la mchele kwa Tabora ni Tzs 70,000!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo bei kubwa sanaaaaaa,
Njoo mwanza wilaya za misungwi na kwimba sasa hivi 35000-40000 gunia la mpunga. Huku mpunga kama mchanga ,kilo hadi 1000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maana nzega hapa Tabora vijana wakila harusini,wanasema tumepiga mpunga na chai
Wewe ndio hujamuelewa vyema. Gunia la Mpunga (mchele) ndani ya maganda anauza kwa Tshs 70,000. Ila, kilo ya mchele anauza kwa Tshs 1,300 sawa na 130,000 kwa kilo 100.Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300