esc343
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 355
- 582
Inaa maana imetengezwa kwa ajili ya kuendeshwa na wanawake ? Je, kama miye nahitaji kuinunua ni mwanaume siruhisiwi ?
Unaruhisiwa kaka, tunajua wanawake ni watunzaji sana.
Inaa maana imetengezwa kwa ajili ya kuendeshwa na wanawake ? Je, kama miye nahitaji kuinunua ni mwanaume siruhisiwi ?
Wanajamvi mwenye gari tajwa hapo juu anayehitaji kuiuza achangamkie fursa.
Bajeti yeyote itakayokuwa na minimum price.