Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Wanachama Wenzangu wa Jamii Forums Huyu Bwana Mdogo NI TAPELI MKUBWA Anatafutwa NA POLISI kama wewe ni Mungwana umemuona huyu kokote tunakuomba tupatie taarifa zake TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU. Ukimuona Mahali usisite Kutupigia simu namba 0687 446644 Huyu Tapeli anaitwa kwa jina hili shekhe sharifu Rahili Au jina jingine anajiita kwa jina hili LAHILL ASHIRAFI NABILI. Hati ya Polisi ya kumkamata hii hapa Arrest warrant (ARABII NO. KLR/PE/23/2014)