Maendeleo tu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 347
- 107
Naombeni na atakayemuona huyu anipigie simu, namba yangu ni 112
View attachment 206169
Mtu unaweza kujua ni mla rushwa hata kwa kumuangalia mashavu tu
Naombeni na atakayemuona huyu anipigie simu, namba yangu ni 112
View attachment 206169
hahaaaa... wamenisamehe.Mama watu wa pwani watakuja na hasira hapa nna watasahau mada....jiandae
....ingawa sura yake inafanania huko ulikosema
Nimepita tu sijaongea lolote
Kwa mzizimkavu i wish mumkamate...inauma sana kuibiwa
Guarantee atakuwa wa pwani.
Lazy bones ambao hujifanya kujanjarukia ukubwani.
Wakitoka hapo kazi ni msuli na kuoa tubinti tudogooo
Such a shame.
Dizaini ya wapenzi wa CCM, inasikitisha kweli.
Mapolis hawanaga msaada kwa upande wangu.nilishawapelekea kesi na kuwapa namba ya mtuhumiwa wakashindwa kunisaidia. Kwa vile mimi mtoto wa mjini nilimtia mbaroni mwenyewe nikaenda kuwakabidhi kituoni. Aibu kwa mapolisi
Naombeni na atakayemuona huyu anipigie simu, namba yangu ni 112
View attachment 206169
View attachment 206811