Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
mzee cambridge gani unayoongelea yenye bei ndogo kama hiyo? au ndo kama vishule vya cambridge high school vya hapa bongo?fanya utafiti vizuri
Habari zenu wazee wa janvi,
Naombeni msaada wa mawazo, nimekuwa nikiona tangazo la cambridge International college kwa muda, na vile vile nimejaribu kwenda kwenye website yao:- Cambridge International College, sasa hivi nimefikia umamuzi wa ku-enroll na chuo hiki kwa kuwa siwezi kusoma full time kwakuwa mimi ni muajiliwa;
Sababu za mimi kutaka ku-enroll na Cambridge International college ni kwa sababu i can do open and distance learning, i can enroll anytime and start anytime, na kitu kingine ni kuwa ADA yao siyo mbaya kwa mtoto wa mkulima kama mimi(it cost about $375 for a diploma which i think is not bad)
Naomba msaada wa mawazo kwa watu mnaokijua chuo hicho au hata kwa wale mliosoma kupitia chuo hicho,things like accreditations and stuff na la mwisho kama mlikuwa na ushauri mwingine wowote au suggestion ya chuo kingini kinachotoa huduma za distance learning na kinachotambulika, my aim is to do advertising and marketing.
Thanks and god bless you all
mhhh dada/kaka angalia kuna watu hatari sana dunia ya sasa.....binafis sikushauri kuwalipa ada kwanza fanya utafiti....
nenda british council iliyo karibu nawe ulizia vyuo vinayotambulika vya elimu masafa kama kitakuwepo basi go ahead
BN,
Unaweza kucheki University of London - distance learning - online education - home study - degrees - courses - diplomas - UK - External System
Lakini pia ingesaidia sana kama ungekuwa umeweka bayana unataka kuchukua course gani.....
Kila la kheri.
uKWELI NI KWAMBA HAWA JAMAA WAKO SAFI KTK MATERIAL WANAZO KU SUBSCRIBE NAZO, MTAALA WAO UKO SMART NA WA KISASA, MODE OF TRAINING IKO KTK ASIGNMENT MBILI AMBAZO WANATAKA UZIFANYE KILA BAADA YA KUMALIZA MODULE, KILA MODULE INA MATERIALS ZAKE NA TEST ZAKE KWA KILA NDANI YA MODULE. UNAPO SUBMIT ASIGNMENT WANAZISAHIHISHA NA KUKUPA MAELEKEZO YA KUBORESHA. WAKISHA RIDHIKA NA KAZI HIZO NDIPO INVIGILATOR ANAPOWAARIFU KUWA UKO TAYARI KWA MTIHANI NA WEWE KUTHIBITISHA TU KILE KINACHOELEZWA NA INVIGILATOR.
BAADA YA HAPO MAWASILIANO NI KATI YAO NA MSIMAMIZI WAKO MPAKA UNAPO SEAT KWA MTIHANI WA MWISHO. KAMA UMEFAURU WATAKU GRADE KWA KOZI NZIMA KUWA KAMA NI PASS, MERIT, HIGHER MERIT E.TC
NI WAZURI ESPECIALLY KWA MWANAFUNZI ANYETAKA KWELI KUSOMA NA KUFIKIA LEVEL ZAO, NINAMAANISHA KUWA UNAPO JISAJIRI NI VEMA UKATAFUTA ZILE CENTRE ZA WA PROFESSIONALS WA HAPA DSM AU POPOTE PALE NCHNI ILI WAKUONGOZE KTK KUKATA NYANGA ZA HAWA JAMAA WA CIC, HII ITAKUSAIDIA KUPATA KNOWLEDGE ZAIDI NA HATA UTAKAPOJIBU MITIHANI YAO UTAKUWA NI MSOMI WA KWELI.
NI COMMITMENT YAKO ZAIDI NDIYO ITAKAYOKUINUA MKUU.
LET US USE CIC KAMA MSHINDANI WA OPEN UNIVERSITY
... nitayafanyia kazi na kweli nimepitia baadhi ya modules ya hawa jamaa wa CIC naona imekaa vizuri.....Jamani wanajanvi wengine ambao unaufahamu na chuo hiki naombeni mawazo na ushauri wenu....Shukrani wakuu