Wanotra nanywa makuuta!

Deo bony

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
74
Reaction score
8
Ndani ya Hospitali ya vichaa.

Muuguzi: Unaandika nini?

Kichaa: Barua

Muuguzi: Unamuandikia nani?

Kichaa: Najiandikia mwenyewe.

Muuguzi: Imebeba ujumbe gani?

Kichaa: Heh, we chizi kweli, sasa mi nitajuaje wakati barua bado haijanifikia?
 
Huyo Daktari kweli hamnazo! Sasa kweli jamaa angejuaje kilichomo kwenye barua ambayo haijamfikia? Lol.....
 
Hiyo heading inaonyesha nawe ni mmoja wao eeh! No offence
 
Huyo Daktari kweli hamnazo! Sasa kweli jamaa angejuaje kilichomo kwenye barua ambayo haijamfikia? Lol.....

mgonjwa mwenyew hamnazo coz m2 utashndwa vp kujua ujumbe wa ukiandkacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…