Wanna be Loved ?; Then Use what you Have.

mapenzi magumu nimetumia vyote nilivonavyo lakini wa kunipenda hakuna
labda akina sisi hatujakuona :)..

Anyway vitu vizuri havitaki haraka endelea ku-enjoy life siku ukipata propose itakuwa ni ya kweli.
 
Good gal.... Ndio maana you are my favorite niece (Mwali usimwambie). Usisahau report ya shule ukija....

ndio maana na mimi nakupenda kuliko ninavyompenda ankal (usinisemee).. Report nitakuja nayo ila nitakuonesha nikikaribia kuondoka...(naogopa kuharibu hali ya hewa mapema)
 
Mmmh dada Kaunga!Ushaona kaka akamuonea wivu dada yake?Basi hapo mimi nimeona wivu jamani.Lakini waswahili wanasema mwenye dada hakosi shemeji kwahiyo ngoja niwe mpole tu

Kaka ukiona dada anachemsha, unapita kimya kimya tu kama hujaona; nnmh hadi naanza kuona aibu sasa!
 
Kaka ukiona dada anachemsha, unapita kimya kimya tu kama hujaona; nnmh hadi naanza kuona aibu sasa!

Basi dada hata mama sitamwambia maana utakuwa umbea huo.Si unajua wamama wa LUKULA kule wanavyo-mind mambo kama hayo.Lakini dada ulifurahia hiyo message ehe
 
labda akina sisi hatujakuona :)..

Anyway vitu vizuri havitaki haraka endelea ku-enjoy life siku ukipata propose itakuwa ni ya kweli.
kuna watu mapenzi hayatufanyii fair kwa kweli sijui hata ni kwa nini?
 
Basi dada hata mama sitamwambia maana utakuwa umbea huo.Si unajua wamama wa LUKULA kule wanavyo-mind mambo kama hayo.Lakini dada ulifurahia hiyo message ehe

Yaani naweza finywa vinyungutu vya kwenye mapaja mama akijua aisee. LOL
 
kuna watu mapenzi hayatufanyii fair kwa kweli sijui hata ni kwa nini?

Dada Smile tuendelee kumuombe mungu kwa sala na mafungo naamini atatufungulia njia tu.Waswahili wanasema MGAAGAA NA UPWWA HALI WALI MKAVU dada angu wee
 
Huna majilasi sababu hujampata huyo mtu
Ukimpata halafu akafikia viwangi vyako? Utajikuta:nod: majilasi yanakuja:nod: yenyewe bila kuyaruhusu.

Chezeiya moyo ulokuwa na kiu ya kupendwa weye!

mi naweza sina majilasi mie
 
huna majilasi sababu hujampata huyo mtu
ukimpata halafu akafikia viwangi vyako? Utajikuta:nod: Majilasi yanakuja:nod: Yenyewe bila kuyaruhusu.

Chezeiya moyo ulokuwa na kiu ya kupendwa weye!
labda yeye ila mimi kweli sijali
 
Sun Wu.
nice Thread.
Thanks Afrodenzi..,
With such lovely eyes on that avatar.., am sure they would have even made Hitler's heart soft, they will automatically change anger into happiness... :),

Thanks a Lot, I Really Appreciate.
 
Back
Top Bottom