Wanja kama Ndege inapaa

Hahaaaa. Sijazoweshwa ila toka nimekuwa na maisha yangu ikatokea tu naupenda kwa kweli.

Ooh. Hapo sawa wasio paka wasipake na tunaopaka tuendelee kupaka tu sababu mie nauona ni sehemu ya urembo.

Mbaya ni kupaka kama wa huyo wa kwenye huo uzi ila kupaka wa Staha kama kwenye Avatar yangu mie naona sawa tu.
 
Jamani wapambaji mtuhurumie si kwa make up hio....ndo mana sipendi makeup
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…