Wangu hafanani na wako

Mwanamke wa dizain hiyo sio wa kuwa naye hata kama ni mchepuko

Nakubaliana na wewe mkuu kwa 100%. Vinginevyo huo unakuwa ni ujasiliamali kupitia mapenzi na sio mapenzi hata kidogo. Bahati mbaya sana wanawake/wasichana wengi siku hizi wako hivyo. Mahusiano yanashikiliwa na maslahi. Kimsingi, ukimpata mwanamke anayejitambua basi mwanaume ni kama umeokota dhahabu...it is such a rare germ.

Ila hata sisi wanaume mara nyingi tunawekaga precedence mbaya mwanzoni mwa mahusiano yetu na wenza wetu ambayo mwishowe inakuja kutu-haunt. Tuwe real. Tujiepushe kuproject matarajio fake kwa wenza wetu.

Tuwe wanaume...hili ni muhimu kwasababu hata pale ambapo umejikuta kumbe uliyenaye ni kimeo basi unaweza kuchukua a firm and difficult decision of letting her go...for real. Mahusiano hayanaga formula...mtu lazima uweze kucheza kulingana na mdundo wa ngoma.
 
Hiv bado kun wanawake omba omba wa shida hizo????????.....ndo man miak 40 ndoa huna then analalamika
 
Hiv bado kun wanawake omba omba wa shida hizo????????.....ndo man miak 40 ndoa huna then analalamika
wako na wengine mpaka leo wanaishi kwao 40 yrs wale ni lile group la mimi mzuri wakati mda unakwenda,akija kukumbuka shuka kumeshakucha..
 
That's why I standand believe on my faith. I DON'T TRUST ANY WOMAN UNDER THE SUN!
 
Yaani hapo wewe umeona kipengele cha sex tu?... Teh maajabu hayaishi
Usijibu kwasababu unataka kujibu tuu,soma vizuri tuliza akili soma ujue mazungumzo yalianzaje ndio ujibu kama huja elewa ruksa kuuliza au kupitiliza ...
 
Teh "Guys be like".

Na wenyewe wakati wanachagua wakuoa si wanatangulizaga pesa mbele, oooh bila pesa blah blah blah. Leo zimeisha wanalilia nini sasa?


Kabisa aisee...starting on a wrong foot. Mtu unaweka precedence mbovu kwasababu tu ya desperation au kutaka kujionyesha tu kwa mpenzi wako kuwa nawe sio mtu wa mchezo mchezo wakati unajua kabisa huwezi ku-sustain for long, halafu baadae mwanaume unaanza kulalamika pale equilibrium inapobadilika
 
Ahsanteeee
 
Na wako hafanani na wa mie. Penda sana wewe bae hata uishiwe mpaka tulale njaa we ndo langu chaguo, kupata na kukosa yote mipango ya Mungu
 
interesting
Me too nilitarajia utaongeza chumvi zaidi katika huu uzi, hautofautiani sana na Nimpende nani kwenye sekta ya kutetea haki za wanaume.
--ongea chochote bas[emoji1]
*interesting haitoshi* ongezea nyama
 
Nna mapungufu yangu lakini hayo mwenyezi mungu kaninusuru nayo,yakumuona mume wa mwenzangu bora zaidi kuliko wangu haiwi na mungu asinijaalie,huyu huyu wangu nimemkubali alivyo...
Nice.
Sio kwa mume/mke tu, hata katika mali, utajiri, ndugu, familia, afya, rizki, nk
*Ni vizuri kuridhika na kile ulichojaaliwa na Mungu na kuongeza juhudi siku moja na wewe upate kwa jasho lako halali.
 
Me too nilitarajia utaongeza chumvi zaidi katika huu uzi, hautofautiani sana na Nimpende nani kwenye sekta ya kutetea haki za wanaume.
--ongea chochote bas[emoji1]
*interesting haitoshi* ongezea nyama
ahahahah [HASHTAG]#supermarketing[/HASHTAG] alizoweka [HASHTAG]#nimpende nani[/HASHTAG] zimejitosheza nahisi km ni ng'ombe atapasuka. tukitimiza hayo yote mtupende kweli basi.
 
Nice.
Sio kwa mume/mke tu, hata katika mali, utajiri, ndugu, familia, afya, rizki, nk
*Ni vizuri kuridhika na kile ulichojaaliwa na Mungu na kuongeza juhudi siku moja na wewe upate kwa jasho lako halali.
Alhamdulilah najitahidi kiasi changu kwa ndugu jamaa na marafiki,na pia nafanya kazi inayoniwezesha kumsaidia Mume wangu kwa njia moja au nyengine na majukumu ya hapa na pale.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…