Asante kwa ushauri binafc nmekuelewa sana dada angu.!! Be blessedHabari wana MMU,
Wanawake naomba tuelewe kua Wanaume wote sio sawa,usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho,
Sio kum stress,au akikwambia nna hela ya saloon elfu 50lakini ya wig jipya sina subiri siku nyengine
mwanamke mdomo utaupindisha kama unakamua shati unataka kulianika,
Siku mume akikupa hela majina yote utamuita,nyongo mkalia inii,mwandani,mboni yangu,furaha yangu,baby,honey,sweetheart,my love,mkali wao,kiboko ya sita kwa sita na mengineyo..
Siku akikosa ndio atatafuta shimo aingie matusi kejeli aibu moja kwa zote,unaanza mwanamme
utakua wewe,najuuta gata sijui nilishikwa na ibilisi gani nikakukubali wewe,muone sura yake kama
sijui sijui nini,hukuiona sura yake mwanzo? mwanamke mwenzangu kua na hekima ujue umuhimu wa mume na kumheshimu,kumbuka ipo siku nayeye ata win na hata kama humtaki bora mwambie kua nimekuchoka sio kum stress na maneno mabaya,akichukuliwa na mwenzio utasema mwanamme yule hana fadhila wala shukran,tujirekebishe wanawake wenzangu....
true...Mmmh misingi ya mahusiano inawekwa sana kwenye urafiki na uchumba huku. Usitegemee sana miujiza kutokea ndoani. Mtu anayekukomeshea kwenye uchumba siku ukifulia ndo utajua her true colors. Ukimpata kwa gharama sana, ujue utam-keep kwa gharama sana pia
Ivi hapo ulikua unaongelea mume ama boyfriend?
Mwanamke hadi amekubali kuolewa alafu bado analeta mishe za mapenzi ya pesa. . .!!kama kweli kuna wanawake wa namna hiyo Mungu atusamehe wallah!
NshakuelewaSio vijana na wanaume wewe, bali wavulana na wanaume!
Kwa kweli maana tunakoelekea ni ndoa za kimaslahiNdiyo wengi mungu awasaidie mlio wachache
Duh!Mwanamke huyo ameolewa na mume akisema sina hela basi hakukaliki tafrani moja kwa zote,anaanza kumfananisha mume wake na wa mwenzie hua nachukia mie....
From today,jua ivyo rafiki [emoji16] [emoji16]i never knew if toto zuri is grown person![emoji1]
Bado nakula ujana [emoji6]Umeolewa?
[emoji23][emoji23][emoji23]From today,jua ivyo rafiki [emoji16] [emoji16]
joanah sio wa sport sport [emoji38][emoji38]