NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Ndiyo wengi mungu awasaidie mlio wachacheIvi hapo ulikua unaongelea mume ama boyfriend?
Mwanamke hadi amekubali kuolewa alafu bado analeta mishe za mapenzi ya pesa. . .!!kama kweli kuna wanawake wa namna hiyo Mungu atusamehe wallah!
Mwanamke huyo ameolewa na mume akisema sina hela basi hakukaliki tafrani moja kwa zote,anaanza kumfananisha mume wake na wa mwenzie hua nachukia mie....Ivi hapo ulikua unaongelea mume ama boyfriend?
Mwanamke hadi amekubali kuolewa alafu bado analeta mishe za mapenzi ya pesa. . .!!kama kweli kuna wanawake wa namna hiyo Mungu atusamehe wallah!
Nna mapungufu yangu lakini hayo mwenyezi mungu kaninusuru nayo,yakumuona mume wa mwenzangu bora zaidi kuliko wangu haiwi na mungu asinijaalie,huyu huyu wangu nimemkubali alivyo...Bora wewe akili zimerudi..Hao wengine wanahitaj maombi
mie silipendiiiiiiiiiii lol..Nalipendaga nyongo mkalia ini ila sijui kwanini huwa silitumii kwenye matumizi yangu
i never knew if toto zuri is grown up person![emoji1]Ivi hapo ulikua unaongelea mume ama boyfriend?
Mwanamke hadi amekubali kuolewa alafu bado analeta mishe za mapenzi ya pesa. . .!!kama kweli kuna wanawake wa namna hiyo Mungu atusamehe wallah!
Mpaka unakubali kuolewa umeshakua umetimia na kukubali kuchukua majukumu kwa shida na raha lakini sio kumdhalilisha mwanzani wako haipendezi kabisa...Kuna Vijana na Wanaume
Kuna Wasichana na Wanawake
Hao wote wanatofautiana tabia
Pale ni mwanzo shosti hata wewe unajua kwenye uchumba na kwenye real life ya mke na mume tofauti sanaa,sema watu wengi tuna chukulia vyengine kua mbona mwanzo alikua ananaipa?Teh "Guys be like".
Na wenyewe wakati wanachagua wakuoa si wanatangulizaga pesa mbele, oooh bila pesa blah blah blah. Leo zimeisha wanalilia nini sasa?
Mmmh misingi ya mahusiano inawekwa sana kwenye urafiki na uchumba huku. Usitegemee sana miujiza kutokea ndoani. Mtu anayekukomeshea kwenye uchumba siku ukifulia ndo utajua her true colors. Ukimpata kwa gharama sana, ujue utam-keep kwa gharama sana piaPale ni mwanzo shosti hata wewe unajua kwenye uchumba na kwenye real life ya mke na mume tofauti sanaa,sema watu wengi tuna chukulia vyengine kua mbona mwanzo alikua ananaipa?
Sio vijana na wanaume wewe, bali wavulana na wanaume!Kuna Vijana na Wanaume
Kuna Wasichana na Wanawake
Hao wote wanatofautiana tabia