wangoni wana nini jamani??

Hivi ni kwa nini majina yao yako hivyo, hawajui kuwa ni ya wanyama!!
 
@katavi,tumuulize bwana chimunguru hv hawajuagi kama majina ni ya wanyama au wanakitu wanataka kuki-associate nacho au,anyways myself huwa napenda kusikia majina yao kama chuoni nimesoma na mmoja anaitwa RITHA NGURUWE-B.A in CULTURE AND HERITAGE MANAGEMENT pale UDSM,Of course she was proud of be ngoni,sengwile wanajf kwa michango juu ya wa-ngoni
 
Umesahau Lumecha, Mlilayoyo, Mawa, Hanga, Matimila, Likuyufusi, Mdwema, Ngwinde, Namkongo, Msindo, Msalabamkuu, Njomlole, Mateka, Liganga... niendelee?
 
Endelea 2. Hiyo namkongo ni ile ya namtumbo? Nandembo, kilimasera, masuguru, huria, matemanga, luhuwiko, mitomoni, msamara maeneo ya otawa na pale rtd(tbc), nakawale, muhukuru, igalawasenga. Luwekei, maguhu,matiri, kigonsera kwa mama sophia pale!
 
Chimunguru!! Wakunyumba nimekukubali! na mie wa kunyumba mwenzako ila sijafikaga huko home na najipanga niende mkuu ili nijue kwetu! Nice oneee!
 
Du Chimunguru wewe mwisho we reli! hata mm nimekukubali. Nasikia hawa jamaa walikuwa wawindaji hodari sana, wakawinda hadi wanyama wote wakaisha, basi wakaamua wapeane majina wa wanyama kuwa wewe utaitwa Tembo, Mapunda, Tumbili n.k.
Kuna stori kuwa Pope John Paul alipoenda Songea (sikumbuka mwaka) akawauliza awafanyie nn? wakamjibu wanaomba afute amri ya sita kwani inawabana sana! teh teh!
 
Jambo wana jf,napenda kufahamu asili ya majina ya kingoni/Wangoni maana utasikia mara ngonyani,mapunda,sungura,tembo,nguruwe......mmmh ,wanajf naomba nyongeza ya majina ya wangoni na kuelewa why wanapenda majina ya wanyama?

Mkuu kumbe watani zangu hawa bado wanaitwa wangoni? Mi nilisikia kuwa wamerekebisha jina la kabila yao kwa kutoa hiyo herufi "n" na sasa wanaitwa Wagoni........hahahahahah watani bana mpooooooooooooo..................
 
Duh,kuumbe nii wagoni eeeeh ,makuuuubwa.
 
Mkuu kumbe watani zangu hawa bado wanaitwa wangoni? Mi nilisikia kuwa wamerekebisha jina la kabila yao kwa kutoa hiyo herufi "n" na sasa wanaitwa Wagoni........hahahahahah watani bana mpooooooooooooo..................
Te he te he eeh eti wagoni!!
 
fisi,kenge,mbwa,nyati,paka shume,nyoka,mjusi kafiri,nyangumi,papa,nondo mla watu,...........
 
:sick:Umesahau, kijiji changu, cha SINAI, pale karibuni na PERAMIHO!!!!!!!!!!!:sick:
 
Jambo wana jf,napenda kufahamu asili ya majina ya kingoni/Wangoni maana utasikia mara ngonyani,mapunda,sungura,tembo,nguruwe......mmmh ,wanajf naomba nyongeza ya majina ya wangoni na kuelewa why wanapenda majina ya wanyama?

Faru, Mbogo, Katembo
 
Umenikumbusha sana BOX TWO mkuu! Nakumbuka sana siku tuliyowatia adabu watoto wa TAMSALA (Songea Girls) enzi hizo tukaishia mahabusu. We acha tu...
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii, mbavu zangu mie jamani nafa kwa kucheka, jina jingine KASUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…