Wangoni na wamatengo waogopeni


Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Vipi wamekula mke wako?
 
Kuna vandu vakutilonda sana mu-JF. Vana raha leta, bila kutijovajova mitima javi jiyii ngati jilonda kuhwa nahaaa... Tivaleka vajova sana na vajova ni kwa waka te titama tu nuhuu

Sasa huyu ndo mngoni mwenyewe harisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
exactly MDAU,WANGONI HAWANA BIFU NA MTU BHANA,,,,,WALA MAJIVUNO,,,,

Wee usiombe ukutane na mngoni wa nyasa we muhaya ananafuu ukiona vijana mjini ameweka funguo ya gari kiunoni muulize kabila anaweza kua mnyasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamna ndugu zangu wa magagula nawatafuta humu mpo kwel au nko pekee yng


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha
Ila wangoni kiboko.
I dated this man and guess what.. sijawah kuweza kumuacha. Tunakaa muda mrefu bila mawasiliano. Tukikutana tunaanza upya mahusiano. Hahahaha yaan ni ngumu mno kusema unamwacha completely. Sijui wana nini. Wako very romantic. Najua kabisa jamaa ana mambo mengi ila sasa nachomokaje kwamfano. Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunajua nini Mwanamke anataka!
 
Mwenye kuwafahamu mabinti wa kimanda(Manda tribe) naomba anipe uzoefu wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimewah kukumbana na kadhia za kuambiwa hivyo na mabint kwa mara kadhaa ila nadhan ni mitazamo yao,kama wangoni wana maringo WAHAYA wananini?Mil10 ya Mboga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mil 10 ya mboga ni sentensi imekuwa ikirudiwa mara kwa mara. Hii haitokani na maringo au kupata sifa. Ni adhari ya lugha mama dhidi ya lugha ya pili.

Makabila mengi kanda ya ziwa wako hivyo kiti kikubwa wanakieleza kwa udogo. Mwenyeji ataandaa chakula kwa mgeni atamkaribisha karibu maji kumbe meza imejaa vyakula kibao. Mtu mwenye hela nyingi ah tajiri ukimwambia unable hela ndugu yangu atajibu "tuhela Kosovo tu".

Hivyohivyo huyu aliyesema "hela ya mboga ". Ni msemo ambao angeusema kwa Kihaya.Mhaya aliyezaliwa na kukulia kijijini angemuelewa tu. Hasingemhukumu kama wengine wanavyosema.


Wasomi watusaidie kueleza vizuri "Adhari ya lugha mama kwenye Kiswahili hasa kwenye mazungumzo".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom